Loading...
title : MAMA ASHA AMWAGA VIFAA VYA MICHEZO JIMBONI
link : MAMA ASHA AMWAGA VIFAA VYA MICHEZO JIMBONI
MAMA ASHA AMWAGA VIFAA VYA MICHEZO JIMBONI
Uongozi wa Jimbo la Mahonda umejikita kuimarisha Sekta ya Michezo katika azma nzima ya kuinua kiwango cha Michezo kitakachowawezesha Vijana ndani ya Jimbo hilo kujiwekea njia ya kupata ajira kupitia fani hiyo muhimu kwa sasa hapa Duniani.
Mke wa Mwakilishi wa Jimbo la Mahonda Mama Asha Suleiman Iddi amesema hayo baada ya kushuhudia pambano la kirafiki la Mchezo wa Mpira wa Pete {Netball} uliozikutanisha Timu za Madada wa Fujoni dhidi ya Kitope lililofanyika katika uwanja wa mahonda Kiwandani.
Mama Asha amesema utaratibu wa kuwapatia vifaa katika Michezo tofauti Vijana wa Jimbo hilo utaendelea ili kuwajengea ari ya kupenda Michezo licha ya kuimarisha Afya bora zitakazowaepusha na Maradhi mbali mbali pamoja na kuwa mbali na vikundi vya kihuni.
Amewataka Vijana hao kujikita katika masuala ya Kijamii na kuacha kasumba na mambo yanayoendelea kuenezwa na Watu walioshindwa kutafuta masuala ya msingi yatakayowawezesha Vijana hao kujitegemea zaidi.
Katika pambano hilo mbali ya kutafuta Timu ya Kombaini ya Netball ya Jimbo la Mahonda lakini pia ulikwenda sambamba na shamra shamra za maadhimisho ya Sherehe za kutimia Miaka 42 ya Chama cha Mapinduzi tokea kilipoasisiwa kwenye Uwanja wa Amani Mjini Zanzibar mnamo Mwaka 1977.
Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR)
Febuari 05, 2019

Hivyo makala MAMA ASHA AMWAGA VIFAA VYA MICHEZO JIMBONI
yaani makala yote MAMA ASHA AMWAGA VIFAA VYA MICHEZO JIMBONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAMA ASHA AMWAGA VIFAA VYA MICHEZO JIMBONI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/mama-asha-amwaga-vifaa-vya-michezo.html
0 Response to "MAMA ASHA AMWAGA VIFAA VYA MICHEZO JIMBONI"
Post a Comment