Loading...

MBUNGE CHADEMA APATA AJALI

Loading...
MBUNGE CHADEMA APATA AJALI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBUNGE CHADEMA APATA AJALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBUNGE CHADEMA APATA AJALI
link : MBUNGE CHADEMA APATA AJALI

soma pia


MBUNGE CHADEMA APATA AJALI


Gari la Mbunge lililopata ajali

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimethibitisha Mbunge wake wa viti maalum kutokea Zanzibar, Zainab Mussa Bakari kupata ajali katika eneo la Dumila mkoani Morogoro alipokuwa akitokea Jijini Dodoma kuja Dar es salaam kufuatia kuahirishwa kwa vikao vya Bunge.

Taarifa ya ajali hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa CHADEMA, Tumaini Makene akisema kuwa Mbunge huyo anatarajiwa kuhamishiwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa matibabu zaidi.

"Mbunge wa CHADEMA (VM) Zanzibar, Bi. Zainab Mussa Bakari amepata ajali eneo la Dumila akitoka Dodoma leo, abiria wote 3 na dereva wamejeruhiwa."

"Baada ya kutibiwa kwa dharura Morogoro, sasa wanapelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili1 kwa uchunguzi na matibabu zaidi"ameongeza Makene

Mapema jana, mmoja wa viongozi wa juu wa chama hicho, Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye alihamishiwa hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya matibabu zaidi baada ya kuzidiwa alipokuwa kwenye majukumu ya kikazi mkoani Tanga.


Hivyo makala MBUNGE CHADEMA APATA AJALI

yaani makala yote MBUNGE CHADEMA APATA AJALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE CHADEMA APATA AJALI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/mbunge-chadema-apata-ajali.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MBUNGE CHADEMA APATA AJALI"

Post a Comment

Loading...