Loading...

Mbunge Malembeka awataka Wanawake kuwajibika

Loading...
Mbunge Malembeka awataka Wanawake kuwajibika - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mbunge Malembeka awataka Wanawake kuwajibika, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mbunge Malembeka awataka Wanawake kuwajibika
link : Mbunge Malembeka awataka Wanawake kuwajibika

soma pia


Mbunge Malembeka awataka Wanawake kuwajibika



Na Heri Shaban, Unguja
Mwambawahabari
MBUNGE wa Viti Maalum (CCM) Mkoa Kaskazini Unguja Angelina Malembeka amewataka Wanawake kujishughulisha na Biashara za Ujasiriamali ili waweze kujiingizia kipato.


Mbunge Malembeka alisema hayo Mkoa Kaskazini Unguja Jimbo la Muhonda wakati wa kuzungumza na Wanawake na Vijana katika ziara ya kikazi alivyoalikwa katika vikundi vya ujasiriamali vya Kamati ya siasa Jimbo la Muhonda.

"Nawaomba Wanawake na Vijana wa Jimbo ili kuchangamkia ajira pamoja na kutafuta fursa mbalimbali mjitume katika kufanya kazi   muweze kukuza uchumi "alisema Malembeka.

 Malembeka aliwataka Wanawake wa Jimbo hilo kubuni miradi ya vikundi pamoja na kumiliki viwanda vidogo vidogo.

Alisema yeye amefarijika kuwa mgeni rasmi katika kikundi cha Kamati ya Siasa ya Muhonda Wanawake na Vijana wakijishughulisha watasonga mbele kwa kuunga mkono juhudi za Rais wa awamu ya tano John Magufuli na kauli mbiu yake hapa kazi .

Alisema atafanya ziara kuwatembelea kukagua vikundi vya vijana na Wanawake vinavyojishughulisha na Uchoraji ,upambaji, na mafundi cherahani.

Malembeka aliwataka Wanawake na Vijana  kuunga mkono mafanikio ya Serikali ya awamu ya tano inavyotekeleza Ilani kwa vitendo kwa kukamilisha miradi mikubwa ya Maendeleo inapelekea uchumi kukua kwa kasi Tanzania.



Hivyo makala Mbunge Malembeka awataka Wanawake kuwajibika

yaani makala yote Mbunge Malembeka awataka Wanawake kuwajibika Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mbunge Malembeka awataka Wanawake kuwajibika mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/mbunge-malembeka-awataka-wanawake.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mbunge Malembeka awataka Wanawake kuwajibika"

Post a Comment

Loading...