Loading...

MENO YA TEMBO NA UHUJUMU UCHUMI VYAMFIKISHA MFANYABIASHARA KORTINI

Loading...
MENO YA TEMBO NA UHUJUMU UCHUMI VYAMFIKISHA MFANYABIASHARA KORTINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MENO YA TEMBO NA UHUJUMU UCHUMI VYAMFIKISHA MFANYABIASHARA KORTINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MENO YA TEMBO NA UHUJUMU UCHUMI VYAMFIKISHA MFANYABIASHARA KORTINI
link : MENO YA TEMBO NA UHUJUMU UCHUMI VYAMFIKISHA MFANYABIASHARA KORTINI

soma pia


MENO YA TEMBO NA UHUJUMU UCHUMI VYAMFIKISHA MFANYABIASHARA KORTINI

Na Karama Kenyunko, Globu ya Jamii
MFANYABIASHARA  Isack Mwasenga (40) Mkazi wa Kanga Chunya mkoani Mwanza,  amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya  uhujumu uchumi likiwemo la kukutwa na vipande 14 vya meno ya tembo na utakatishaji fedha.

Mwasenga amefikishwa mahakamani hapo leo Februari 28, 2019  na kusomewa mashitaka yake mbele ya Hakimu Mkazi mwandamizi Augustino Rwizile.

Akisoma hati ya mashitaka, Wakili wa Serikali, Wankyo Simon amedai, Desemba 21, mwaka jana huko katika nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Ubungo jijini Dar es Salaam, mshtakiwa alikutwa na vipande 14 vya meno ya tembo vyenye thamani ya USD, 45,000 sawa na sh. 102,150,000 bila kuwa na kibali cha Mkurugenzi wa Wanyamapori.

Pia imedaiwa, mshitakiwa baada ya kukutwa na vipande hivyo, alitumia fedha hizo wakati akijua kwamba ni zao la uwindaji haramu. Hata hivyo, mshitakiwa haruhusiwi kujibu chochote mahakamani hapo kwa sababu mahakama hiyo haina mamlaka ya kusikiliza kesi za uhujumu uchumi ambazo kwa kawaida zinasikilizwa mahakama kuu au mpaka mahakama itakapopewa kibali na DPP

Kwa mujibu wa upande wa mashtaka upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika hivyo aliomba tarehe nyingine kwa ajili ya kutajwa.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Machi 12, mwaka huu kesi itakapokuja kwa ajili ya kutajwa.Mshitakiwa amerudishwa rumande 



Hivyo makala MENO YA TEMBO NA UHUJUMU UCHUMI VYAMFIKISHA MFANYABIASHARA KORTINI

yaani makala yote MENO YA TEMBO NA UHUJUMU UCHUMI VYAMFIKISHA MFANYABIASHARA KORTINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MENO YA TEMBO NA UHUJUMU UCHUMI VYAMFIKISHA MFANYABIASHARA KORTINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/meno-ya-tembo-na-uhujumu-uchumi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MENO YA TEMBO NA UHUJUMU UCHUMI VYAMFIKISHA MFANYABIASHARA KORTINI"

Post a Comment

Loading...