Loading...

MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, TANZANIA , VENANCE MABEYO AWASILI MKOANI NJOMBE KWA ZIARA YA SIKU MBILI.

Loading...
MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, TANZANIA , VENANCE MABEYO AWASILI MKOANI NJOMBE KWA ZIARA YA SIKU MBILI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, TANZANIA , VENANCE MABEYO AWASILI MKOANI NJOMBE KWA ZIARA YA SIKU MBILI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, TANZANIA , VENANCE MABEYO AWASILI MKOANI NJOMBE KWA ZIARA YA SIKU MBILI.
link : MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, TANZANIA , VENANCE MABEYO AWASILI MKOANI NJOMBE KWA ZIARA YA SIKU MBILI.

soma pia


MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, TANZANIA , VENANCE MABEYO AWASILI MKOANI NJOMBE KWA ZIARA YA SIKU MBILI.

Mwambawahabari

Image result for picha ya mabeyo
Mwenyekiti wa Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania CDF, Venance Mabeyo, amewasili Mkoa wa Njombe na kupokelewa na Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas, katika ziara yake ya siku mbili mkoani humo kwa lengo la kujua nini chanzo cha matukio ya mauaji ya watoto yaliotokea siku za hivi karibuni. (Picha na Jeshi la Polisi).    

Image result for picha ya mabeyo
Mwenyekiti wa Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania CDF Venance Mabeyo, akiteta jambo na Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas, baada ya kuwasili katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe katika ziara yake ya siku mbili mkoani humo. (Picha na Jeshi la Polisi).   

Image result for picha ya mabeyo
Mwenyekiti wa Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania CDF Venance Mabeyo, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama mkoani Njombe na kushoto kwake ni  Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas. (Picha na Jeshi la Polisi).     


Hivyo makala MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, TANZANIA , VENANCE MABEYO AWASILI MKOANI NJOMBE KWA ZIARA YA SIKU MBILI.

yaani makala yote MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, TANZANIA , VENANCE MABEYO AWASILI MKOANI NJOMBE KWA ZIARA YA SIKU MBILI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, TANZANIA , VENANCE MABEYO AWASILI MKOANI NJOMBE KWA ZIARA YA SIKU MBILI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/mkuu-wa-majeshi-ya-ulinzi-na-usalama_11.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, TANZANIA , VENANCE MABEYO AWASILI MKOANI NJOMBE KWA ZIARA YA SIKU MBILI."

Post a Comment

Loading...