Loading...
title : MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU KWENYE MKUTANO WA (AU)
link : MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU KWENYE MKUTANO WA (AU)
MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU KWENYE MKUTANO WA (AU)
Mwambawahabari
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia kwenye ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari 11, 2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda Richard Sezibera, katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari 11, 2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais FIFA Gianni Infantino, katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari 11, 2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Rais FIFA Gianni Infantino, katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari 11, 2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia picha za Viongozi Waasisi wa Ukombozi wa Afrika, ndani ya ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari 11, 2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma kitabu, kwenye ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Addis Ababa EthiopiaFebruari 11, 2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU KWENYE MKUTANO WA (AU)
yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU KWENYE MKUTANO WA (AU) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU KWENYE MKUTANO WA (AU) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/matukio-katika-picha-waziri-mkuu-kwenye.html
0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU KWENYE MKUTANO WA (AU)"
Post a Comment