Loading...

POLISI INDONESIA WAOMBA MSAMAHA KWA KITENDO CHAKE CHA KUTUMIA NYOKA KUMBANA MTUHUMIWA WA WIZI YA SIMU

Loading...
POLISI INDONESIA WAOMBA MSAMAHA KWA KITENDO CHAKE CHA KUTUMIA NYOKA KUMBANA MTUHUMIWA WA WIZI YA SIMU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa POLISI INDONESIA WAOMBA MSAMAHA KWA KITENDO CHAKE CHA KUTUMIA NYOKA KUMBANA MTUHUMIWA WA WIZI YA SIMU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : POLISI INDONESIA WAOMBA MSAMAHA KWA KITENDO CHAKE CHA KUTUMIA NYOKA KUMBANA MTUHUMIWA WA WIZI YA SIMU
link : POLISI INDONESIA WAOMBA MSAMAHA KWA KITENDO CHAKE CHA KUTUMIA NYOKA KUMBANA MTUHUMIWA WA WIZI YA SIMU

soma pia


POLISI INDONESIA WAOMBA MSAMAHA KWA KITENDO CHAKE CHA KUTUMIA NYOKA KUMBANA MTUHUMIWA WA WIZI YA SIMU

Na Ripota Wetu  
JESHI la Polisi nchini Indonesia limeomba msamaha kwa kutumia nyoka kumtishia mtuhumiwa wa wizi baada ya video kusambazwa katika mitandao ya kijamii nchini humo. Baadhi ya maofisa wa jeshi hilo la polisi katika video hiyo wameonekana wakicheka na wengine waliokuwa wakimhoji mtuhumiwa huyo wakionekana kumuweka nyoka shingoni mwa mshukiwa huyo aliyekuwa amefungwa pingu huku akipiga kelele mashariki mwa eneo la Papua.

Habari iliyowekwa kwenye Mtandao wa Shirika la Habari la Uingereza(BBC) inadaiwa kuwa mtuhumiwa huyo alifikishwa polisi kutokana na tuhuma za kuiba simu ya mkononi. Akizungumzia tukio hilo, Ofisa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini humo Tonny Ananda Swadaya amesema haikupaswa kufanyika hivyo lakini ametetea mbinu hiyo akieleza kwamba nyoka huyo hana sumu na kwamba wamechukua hatua kali dhidi ya maofisa waliohusika.

Swadaya amefafanua kuwa maofisa hao wa polisi hawakumpiga mshukiwa na kuongeza walichukua hatua kwa hiari yao kujaribu kumfanya mshukiwa akiri makosa. Kwa upande wake Wakili anayetetea haki za binaadamu Veronica Koman ametuma ujumbe kwenye mtandao wa Twitter ulioonyesha video hiyo, akidai kuwa maofisa hivi karibuni walimtishia mwanaharakati anayetetea uhuru wa Papua kwa nyoka akiwa gerezani.

Hata hivyo inaelezwa sauti katika video hiyo iliyosambaa inaarifiwa kusikika ikitishia kumweka nyoka huyo ndani ya mdomo wa mshukiwa na ndani ya suruali yake.


Hivyo makala POLISI INDONESIA WAOMBA MSAMAHA KWA KITENDO CHAKE CHA KUTUMIA NYOKA KUMBANA MTUHUMIWA WA WIZI YA SIMU

yaani makala yote POLISI INDONESIA WAOMBA MSAMAHA KWA KITENDO CHAKE CHA KUTUMIA NYOKA KUMBANA MTUHUMIWA WA WIZI YA SIMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala POLISI INDONESIA WAOMBA MSAMAHA KWA KITENDO CHAKE CHA KUTUMIA NYOKA KUMBANA MTUHUMIWA WA WIZI YA SIMU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/polisi-indonesia-waomba-msamaha-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "POLISI INDONESIA WAOMBA MSAMAHA KWA KITENDO CHAKE CHA KUTUMIA NYOKA KUMBANA MTUHUMIWA WA WIZI YA SIMU"

Post a Comment

Loading...