Loading...

WABUNGE WA MAREKANI SASA WAFIKIA MAKUBALIANO YA UFADHILI WA SERIKALI

Loading...
WABUNGE WA MAREKANI SASA WAFIKIA MAKUBALIANO YA UFADHILI WA SERIKALI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WABUNGE WA MAREKANI SASA WAFIKIA MAKUBALIANO YA UFADHILI WA SERIKALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WABUNGE WA MAREKANI SASA WAFIKIA MAKUBALIANO YA UFADHILI WA SERIKALI
link : WABUNGE WA MAREKANI SASA WAFIKIA MAKUBALIANO YA UFADHILI WA SERIKALI

soma pia


WABUNGE WA MAREKANI SASA WAFIKIA MAKUBALIANO YA UFADHILI WA SERIKALI

Na Ripota Wetu
KUNDI la Maseneta wa Republican na Democrats nchini Marekani wamesema wamefikia makubaliano ya ufadhili wa Serikali kuelekea tarehe ya mwisho inayotishia kufungwa kwa sehemu fulani ya shughuli za Serikali.

Kwa mujibu wa mtandao wa DW inaeleza kuwa wabunge wanakabiliwa na tarehe ya mwisho Februari 15 ya ufadhili wa Serikali na kuafikiana na mahitaji ya fedha ya rais Donald Trump kuhusu ujenzi wa ukuta na Mexico.

Hata hivyo ikiwa tarehe hiyo ya mwisho itafikiwa bila muafaka, Serikali huenda ikafunga sehemu fulani ya shughuli zake na kuwalazimu mamia kwa maelfu ya wafanyakazi wa shirikisho kufanya kazi bila ya malipo. Vyombo vya habari vya Marekani vimemnukuu seneta wa Republican Richard Shelby kuwa kumefikiwa makubaliano.


Hivyo makala WABUNGE WA MAREKANI SASA WAFIKIA MAKUBALIANO YA UFADHILI WA SERIKALI

yaani makala yote WABUNGE WA MAREKANI SASA WAFIKIA MAKUBALIANO YA UFADHILI WA SERIKALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WABUNGE WA MAREKANI SASA WAFIKIA MAKUBALIANO YA UFADHILI WA SERIKALI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/wabunge-wa-marekani-sasa-wafikia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WABUNGE WA MAREKANI SASA WAFIKIA MAKUBALIANO YA UFADHILI WA SERIKALI"

Post a Comment

Loading...