Loading...

POLISI TANZANIA YAICHAPA MASHUJAA 1-0

Loading...
POLISI TANZANIA YAICHAPA MASHUJAA 1-0 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa POLISI TANZANIA YAICHAPA MASHUJAA 1-0, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : POLISI TANZANIA YAICHAPA MASHUJAA 1-0
link : POLISI TANZANIA YAICHAPA MASHUJAA 1-0

soma pia


POLISI TANZANIA YAICHAPA MASHUJAA 1-0

 Mshambuliaji wa timu ya Polisi Tanzania Edga Mfumakule akionyesha umahiri wa kusakata kabumbu wakati wa mchezo wa ligi daraja la kwanza dhidi ya Mashujaa ya Kigoma katika uwanja wa Ushirika Moshi ambapo Polisi walishinda 1-0 (Picha na Jeshi la Polisi).
 Santos Marcelino wa Polisi Tanzania akitamba mbele ya walinzi  wa Mashujaa ya Kigoma wakati wa mchezo wa ligi daraja la kwanza katika uwanja wa Ushirika Moshi ambapo Polisi walishinda 1-0.
 Santos Marcelino wa Polisi Tanzania akiwatoka walinzi wa Mashujaa ya Kigoma wakati wa mchezo wa ligi daraja la kwanza katika uwanja wa Ushirika Moshi ambapo Polisi walishinda 1-0.
Kikosi cha timu ya Polisi Tanzania kilichoanza dhidi ya Mashujaa ya Kigoma wakati wa mchezo wa ligi daraja la kwanza katika uwanja wa Ushirika Moshi ambapo Polisi walishinda 1-0 (Picha na Jeshi la Polisi).



Hivyo makala POLISI TANZANIA YAICHAPA MASHUJAA 1-0

yaani makala yote POLISI TANZANIA YAICHAPA MASHUJAA 1-0 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala POLISI TANZANIA YAICHAPA MASHUJAA 1-0 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/polisi-tanzania-yaichapa-mashujaa-1-0.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "POLISI TANZANIA YAICHAPA MASHUJAA 1-0"

Post a Comment

Loading...