Loading...
title : RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU YA DOMINIKA YA 5 YA MAKASIA KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR ES SALAAM
link : RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU YA DOMINIKA YA 5 YA MAKASIA KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR ES SALAAM
RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU YA DOMINIKA YA 5 YA MAKASIA KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki na waumini wengine katika Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 5 ya Makasia katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo February 10, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono wa amani na masista na waumini wakati wa Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 5 ya Makasia katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo February 10, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Mkate wa Sakramenti Takatifu toka kwa Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padri Dkt. Alister Makubi wakati wa Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 5 ya Makasia katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo February 10, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padri Dkt. Alister Makubi baada ya kushiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 5 ya Makasia katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo February 10, 2019. Katikati ni mmoja wa viongozi wa kanisa hilo Dkt. Adelhelm James Meru
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU YA DOMINIKA YA 5 YA MAKASIA KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU YA DOMINIKA YA 5 YA MAKASIA KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU YA DOMINIKA YA 5 YA MAKASIA KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/rais-dkt-magufuli-ashiriki-ibada-ya.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU YA DOMINIKA YA 5 YA MAKASIA KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment