Loading...
title : RAIS DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA
link : RAIS DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA
RAIS DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akiwa na mke wake mama Mwanamwema Shein (wamwanzo)na Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Amali Riziki Pembe Juma wakikunjuwa Pazia kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi Skuli ya Msingi Kwarara ikiwa ni miongoni mwa Ziara yake ya kuangalia miradi mbalimbali ya Serikali katika Wilaya ya Magharibi B unguja..
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akitoa hotuba katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Skuli ya Msingi Kwarara Ikiwa ni miongoni mwa ziara yake kuangalia miradi mbalimbali ya Serikali katika Wilaya ya Magharibi B unguja.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Riziki Pembe Juma akitoa hotuba ya Makaribisho kwa Mgeni Rasmi Rais wa Zanzibar katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Skuli ya Msingi Kwarara Ikiwa ni miongoni mwa ziara yake kuangalia miradi mbalimbali ya Serikali katika Wilaya ya Magharibi B unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Kampuni ya (SRAT CONSULT )ya Mwanza Tanzania Salim Rajab Twaakyondo kuhusiana na ujenzi wa Skuli ya Msingi Kwarara ikiwa ni miongoni mwa Ziara yake ya kuangalia miradi mbalimbali ya Serikali katika Wilaya ya Magharibi B unguja.
Baadhi ya Wanafunzi wa Skuli ya Msingi na Sekondari Kwarara wakiwa katika sehemu ya Jengo la Skuli ya Msingi ambalo Limewekewa Jiwe la Msingi na Rais wa Zanizbar Dk Ali Mohamed Shein ikiwa ni miongoni mwa Ziara yake ya kuangalia miradi mbalimbali ya Serikali katika Wilaya ya Magharibi B unguja..
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala RAIS DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA
yaani makala yote RAIS DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/rais-dkt-shein-aendelea-na-ziara-yake_14.html
0 Response to "RAIS DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA"
Post a Comment