Loading...
title : Shirika la Railway Children latoa mafunzo kwa waandishi wa habari
link : Shirika la Railway Children latoa mafunzo kwa waandishi wa habari
Shirika la Railway Children latoa mafunzo kwa waandishi wa habari
Mkurugenzi wa Shirika la Railway Children, Mussa Mgata akitolea ufafanuzi kuhusu mazingira wanayoyapitia watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu wakati wa warsha iliyowakutanisha waandishi wa katika mafunzo ya namna ya kuandika habari za watoto yatakayofanyika leo katika hoteli ya New Afrika jijini Dar es Salaam.
Meneja Miradi wa Shirika la Railway Children, Mary Gatama akitoa mada kuhusu watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu wakati wa warsha iliyowakutanisha waandishi wa katika mafunzo ya namna ya kuandika habari za watoto yatakayofanyika leo katika hoteli ya New Afrika jijini Dar es Salaam.
Afisa Mahusiano wa Shirika la Railway Children, Henry Mazunda akiwasilisha mada ya namna kuwalinda watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu pamoja na namna ya kutoa elimu ya jinsi ya kuwalinda watoto hao wakati wa warsha ya iliyowakutanisha waandishi wa katika mafunzo ya namna ya kuandika habari za watoto yatakayofanyika leo katika hoteli ya New Afrika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waandishi wa habariwakiwa kwenye semina ya mafunzo ya namna ya kuandika habari za watoto iliyoandaliwa na Shirika la Railway Children iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Picha na Emmanuel Massaka Blogu ya Jamii
Hivyo makala Shirika la Railway Children latoa mafunzo kwa waandishi wa habari
yaani makala yote Shirika la Railway Children latoa mafunzo kwa waandishi wa habari Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Shirika la Railway Children latoa mafunzo kwa waandishi wa habari mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/shirika-la-railway-children-latoa.html
0 Response to "Shirika la Railway Children latoa mafunzo kwa waandishi wa habari"
Post a Comment