Loading...
title : RAIS WA UTPC AWATAKA WANAHABARI NCHINI KUJIUNGA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA(NHIF)
link : RAIS WA UTPC AWATAKA WANAHABARI NCHINI KUJIUNGA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA(NHIF)
RAIS WA UTPC AWATAKA WANAHABARI NCHINI KUJIUNGA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA(NHIF)
Na Editha Karlo,Kigoma
RAIS wa umoja wa vilabu vya waandishi wa habari Tanzania(UTPC) Deogratius Nsonkolo ,amewahimiza wanahabari watumie fursa ya umoja wa vilabu vyao, kujiunga na huduma ya mfuko wa Bima ya afya (NHIF) kwaajili ya kupata kadi za matibabu na kuwa na uhakika matibabu wanapougua wao na familia zao.
Nsokolo ameyasema hayo jana Kigoma mjini wakati akifunga Kikao kazi cha wanahabari na viongozi wa mfuko wa bima ya afya ngazi ya Taifa na mkoani humo lengo la kikao hicho ni kujenga mahusiano ya utendaji kazi baina ya Mfuko wa bima ya Afua Taifa(NHIF)na wanahabari wa Kigoma.
Alisema ni wajibu wa wanahabari kwa kupitia kalamu zao kuelimisha jamii umuhimu wa kujiunga na mfuko huo ili wawe na uhakika wa matibabu pale wanaugua.
"Hata sisi waandishi tunapaswa kuwa mfano katika suala hili la kujiunga na mfuko wa bima ya afya,kunabaadi hawana mikataba ya kazi kwenye vituo vyao vya wanavyo fanyia kazi hivyo ni vyema tukanyima kwa fedha chache tunazopata tukajiunga kwani ugongwa ukija hauna taarifa unaweza ugumua huna hata mia ila ukiwa na kadi ya nhif unapata matibabu,"Alisema
Alisema inatakiwa sasa klabu za waandishi nchini ziweke mkakati wa kila mwanachama atoe fedha kwa utaratibu utakaokubaliana kila mtu atoe kidogokidogo hadi kiasi cha fedha sh.76,800 na zipelekwe katika mfuko wa NHIF waweze kupata kadi za matibabu.
Meneja Uhusiano wa Mfuko wa bima ya afya NHIF Taifa Anjela Mziray asema NHIF ina mahusiano mazuri na klabu za waandishi wa habari katika Mikoa yote hiyo ni kwaajili ya kufanya kazi kwa pamoja kama timu hali kama hiyo inachochea wananchi kujiunga na mfuko wa bima ya afya ya CHF au NHIF.
"Niwaombe hata nyie Waandishi tumieni fursa ya Kikoa kujiunga na mfuko wa bima ya afya ,Serikali inataka kila mwananchi apate huduma bora za afya kuanzia vipimo na dawa kwa wakati,athari ya kutokuwa na bima ya afya ni janga kwa familia kukimbiana linapokuja suala la mchango wa kumtibia mgonjwa mfano,tatizo la kusafisha figo Kwa mwezi unahitaji uwe na fedha si chini ya sh.milioni moja kwa mwananchi wa maisha ya kawaida ataweza?lakini ukiwa na kadi ya bima ya afya una kuwa na uhakika wa matibabu"Alisema
Ofisa Uthibiti na Uhakiki wa ubora NHIF mkoani Kigoma Dkt . Daniel Kihaya amesema waandishi wa habari wathubutu kutoa habari zenye kuibua uwajibikaji baina ya watumishi wa afya,mwanachama na huduma za mfuko huo ili,kukomesha tabia ya watumishi wa afya wanaokwamisha dhana ya bima ya afya kwa maslahi yao binafsi.
"Waandishi ni watafiti nyie muwe mnapita pita huko kwenye zahanati na hospital muibue mambo mbalimbali wanayafanya watoa huduma wasiowaaminifu kwa wanachama wa mfuko tukishirikiana tutakomesha tabia mbaya mbaya zote"alisema
Takimu inaonyesha hadi sasa wananchi waliojiunga na mfuko wa bima ya afya ya NHIF na CHF ni 32% kwa nchini nzima,lengo kufikia 50%ifikapo mwaka 2020 huku Mfuko wa NHIF ukiwa ni miongoni mwa mfuko bora unaotambulika kimataifa kwa utoaji wa huduma bora ya Afya (ISO ,901/2015) .
Kaimu Meneja wa NHIF kigoma Emanuel Kileo ataja moja ya matarajio ya kuongeza wigo wa wanachama ni pamoja na ujio wa uzinduzi wa kampeni ya Ushirika afya na kusisitiza kutokana na mashirikiano na vyombo vya habari na wandishi wake watafanikiwa kuibua na kutokomeza kero ya ulaghai wa utoaji huduma kwa watumiaji wa Mfuko huo.
Meneja mahusiano wa mfuko wa bima ya afya Taifa(NHIF)Angela Mziray akiongea jambo wakati wa ufunguzi wa kikao kazi baina ya waandishi wa habari wa Mkoa wa Kigoma na maofisa wa mfuko wa bima ya afya.

Sehemu ya waandishi wa habari wa Mkoa wa Kigoma wakisikiliza mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na maofisa wa mfuko wa bima ya afya (NHIF)

Hivyo makala RAIS WA UTPC AWATAKA WANAHABARI NCHINI KUJIUNGA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA(NHIF)
yaani makala yote RAIS WA UTPC AWATAKA WANAHABARI NCHINI KUJIUNGA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA(NHIF) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA UTPC AWATAKA WANAHABARI NCHINI KUJIUNGA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA(NHIF) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/rais-wa-utpc-awataka-wanahabari-nchini.html
0 Response to "RAIS WA UTPC AWATAKA WANAHABARI NCHINI KUJIUNGA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA(NHIF)"
Post a Comment