Loading...
title : KINANA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA QATAR HAPA NCHINI ,LEO
link : KINANA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA QATAR HAPA NCHINI ,LEO
KINANA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA QATAR HAPA NCHINI ,LEO
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Qatar hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimsalimia msaidizi wa Balozi wa Qatar hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwa na Balozi wa Qatar hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Qatar hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam .
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Qatar hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO.
Hivyo makala KINANA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA QATAR HAPA NCHINI ,LEO
yaani makala yote KINANA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA QATAR HAPA NCHINI ,LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KINANA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA QATAR HAPA NCHINI ,LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/kinana-afanya-mazungumzo-na-balozi-wa.html
0 Response to "KINANA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA QATAR HAPA NCHINI ,LEO"
Post a Comment