Loading...

RC MAKONDA ATIMIZA AHADI YA KUMPATIA MTAJI WA MILIONI 5 MAMA MZAZI WA MAREHEMU MSANII "GODZILLA".

Loading...
RC MAKONDA ATIMIZA AHADI YA KUMPATIA MTAJI WA MILIONI 5 MAMA MZAZI WA MAREHEMU MSANII "GODZILLA". - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC MAKONDA ATIMIZA AHADI YA KUMPATIA MTAJI WA MILIONI 5 MAMA MZAZI WA MAREHEMU MSANII "GODZILLA"., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC MAKONDA ATIMIZA AHADI YA KUMPATIA MTAJI WA MILIONI 5 MAMA MZAZI WA MAREHEMU MSANII "GODZILLA".
link : RC MAKONDA ATIMIZA AHADI YA KUMPATIA MTAJI WA MILIONI 5 MAMA MZAZI WA MAREHEMU MSANII "GODZILLA".

soma pia


RC MAKONDA ATIMIZA AHADI YA KUMPATIA MTAJI WA MILIONI 5 MAMA MZAZI WA MAREHEMU MSANII "GODZILLA".

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo ametimiza ahadi aliyotoa ya kumpatia Mama Mzazi wa Marehemu Msanii Godzilla kiasi cha shilingi milioni 5 kama mtaji wa kufungua duka la kisasa la kuuza dawa za binadamu (pharmacy) itakayowezesha familia kujikwamua kiuchumi.

Itakumbukwa juzi February 16 wakati wa maziko ya Msanii Godzilla, RC Makonda aliguswa kuahidi kutoa kiasi hicho cha fedha baada ya kugundua Marehemu Godzilla alikuwa na ndoto ya kumpatia mama yake mtaji wa shilingi milioni 5 kwaajili ya kufungua Pharmacy itakayomsaidia kuendesha maisha na tayari alikuwa ameshamkabidhi milioni 4 lakini baada ya Marehemu Godzilla kuugua ghafla Mama yake alilazimika kutumia fedha hizo kumuuguza mwanae na kusababisha fedha kuisha. 

RC Makonda amekabidhi kiasi hicho cha fedha mapema leo kwa Msanii Fareed Kubanda almaarufu kama Fid Q ili akiwakilishe kwa familia ya Marehemu Godzilla.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam  Paul Makonda(kushoto) akimkabidhi Msanii Fareed Kubanda almaarufu kama Fid Q(kulia) kwa niaba ya Mama Mzazi wa Marehemu Msanii Godzilla kiasi cha shilingi milioni 5 kama mtaji wa kufungua duka la kisasa la kuuza dawa za binadamu (Pharmacy).


Hivyo makala RC MAKONDA ATIMIZA AHADI YA KUMPATIA MTAJI WA MILIONI 5 MAMA MZAZI WA MAREHEMU MSANII "GODZILLA".

yaani makala yote RC MAKONDA ATIMIZA AHADI YA KUMPATIA MTAJI WA MILIONI 5 MAMA MZAZI WA MAREHEMU MSANII "GODZILLA". Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA ATIMIZA AHADI YA KUMPATIA MTAJI WA MILIONI 5 MAMA MZAZI WA MAREHEMU MSANII "GODZILLA". mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/rc-makonda-atimiza-ahadi-ya-kumpatia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC MAKONDA ATIMIZA AHADI YA KUMPATIA MTAJI WA MILIONI 5 MAMA MZAZI WA MAREHEMU MSANII "GODZILLA"."

Post a Comment

Loading...