Loading...
title : NAIBU WAZIRI WA MALISILI NA UTALII,MHANDISI RAMO MAKANI AKUTANA NA WATUMISHI WA HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMANJARO (KINAPA).
link : NAIBU WAZIRI WA MALISILI NA UTALII,MHANDISI RAMO MAKANI AKUTANA NA WATUMISHI WA HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMANJARO (KINAPA).
NAIBU WAZIRI WA MALISILI NA UTALII,MHANDISI RAMO MAKANI AKUTANA NA WATUMISHI WA HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMANJARO (KINAPA).
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akizungumza jambo wakati wa uwasilishaji wa taarifa ya Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro.
Kaimu Mkurugenzi wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Mtango Mtahiko akimueleza jambo Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani wakati wa kikao cha uwasilishaji wa taarifa ya Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA).
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) Betrita Loibook akifanya uwasilishaji wa taarifa kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro kwa Naibu Waziri wa Malisili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani.
Madiwani kutoka kata mbalimbali za jimbo la Vunjo pamoja na Mbunge wa jimbo la Vunjo,James Mbatia pia wameshiriki katika kikao hicho kilichofanyika makao makuu ya Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro.
Hivyo makala NAIBU WAZIRI WA MALISILI NA UTALII,MHANDISI RAMO MAKANI AKUTANA NA WATUMISHI WA HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMANJARO (KINAPA).
yaani makala yote NAIBU WAZIRI WA MALISILI NA UTALII,MHANDISI RAMO MAKANI AKUTANA NA WATUMISHI WA HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMANJARO (KINAPA). Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI WA MALISILI NA UTALII,MHANDISI RAMO MAKANI AKUTANA NA WATUMISHI WA HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMANJARO (KINAPA). mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/naibu-waziri-wa-malisili-na.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI WA MALISILI NA UTALII,MHANDISI RAMO MAKANI AKUTANA NA WATUMISHI WA HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMANJARO (KINAPA)."
Post a Comment