Loading...

SPIKA NDUGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA MSTAAFU (MDAU WA MAENDELEO) JIJINI DODOMA.

Loading...
SPIKA NDUGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA MSTAAFU (MDAU WA MAENDELEO) JIJINI DODOMA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA NDUGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA MSTAAFU (MDAU WA MAENDELEO) JIJINI DODOMA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA NDUGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA MSTAAFU (MDAU WA MAENDELEO) JIJINI DODOMA.
link : SPIKA NDUGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA MSTAAFU (MDAU WA MAENDELEO) JIJINI DODOMA.

soma pia


SPIKA NDUGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA MSTAAFU (MDAU WA MAENDELEO) JIJINI DODOMA.

Mwambawahabari
Image result for picha ya SPIKA NDUGAI na Rajabu Rukombe
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Mstaafu (Mdau wa Maendeleo), Injinia, Rajabu Rukombe (katikati) wakati alipomtembela ofisini kwake kwa ajili ya kumgawia vitabu ambavyo Mhe. Spika pia atawapatia viongozi mbali mbali wa kitaifa, vitabu vyenye maudhui makuu matatau (3), ikiwemo kumpongeza Mhe. Rais Magufuli kwa kuonyesha jitihada na umuhimu wa uchumi wa viwanda pia tufanye nini kufikia lengo la viwanda kikao kilichofanyika leo tarehe 4 Februari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni mwanae Injinia, Ndg. Rukombe Rukombe
Image result for picha ya SPIKA NDUGAI na Rajabu Rukombe
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akipokea vitabu kutoka kwa Mstaafu (Mdau wa Maendeleo), Injinia, Rajabu Rukombe (katikati) alipomtembela leo tarehe 4 Februari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Vyenye maudhui makuu matatau (3), ikiwemo kumpongeza Mhe. Rais Magufuli kwa kuonyesha jitihada na umuhimu wa uchumi wa viwanda pia tufanye nini kufikia lengo la viwanda, Kulia ni mwanae Injinia, Ndg. Rukombe Rukombe
Image result for picha ya SPIKA NDUGAI na Rajabu Rukombe
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mstaafu (Mdau wa Maendeleo), Injinia, Rajabu Rukombe (kushoto) alipomtembelea leo tarehe 4 Februari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Lengo likiwa ni kumgawia vitabu ambavyo Mhe. Spika pia atawapatia viongozi mbali mbali wa kitaifa, vyenye maudhui makuu matatau (3), ikiwemo kumpongeza Mhe. Rais Magufuli kwa kuonyesha jitihada na umuhimu wa uchumi wa viwanda  pia tufanye nini kufikia lengo la Tanzania ya viwanda. Kulia ni mwanae Injinia, Ndg. Rukombe Rukombe

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala SPIKA NDUGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA MSTAAFU (MDAU WA MAENDELEO) JIJINI DODOMA.

yaani makala yote SPIKA NDUGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA MSTAAFU (MDAU WA MAENDELEO) JIJINI DODOMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA MSTAAFU (MDAU WA MAENDELEO) JIJINI DODOMA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/spika-ndugai-afanya-mazungumzo-na_4.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SPIKA NDUGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA MSTAAFU (MDAU WA MAENDELEO) JIJINI DODOMA."

Post a Comment

Loading...