Loading...
title : MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI JIJINI DODOMA
link : MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI JIJINI DODOMA
MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI JIJINI DODOMA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akizungumza Bungeni nakuiomba Serikali kutoa tamko kuhusu ambazo imeshachukua kuhusu hali ya mauaji ya watoto Mkoani Njombe kabla ya Bunge hilo kuhairishwa wiki hii.
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akijibu maswali mbalimbali ya wabunge leo Bungeni Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Dkt. Faustine Ndugulile akijibu hoja mbalimbali za Wabunge leo Bungeni Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula akitolea ufafanuzi hoja mbalimbali za wabunge leo Bungeni Jijini Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Palamagamba Kabudi akiteta Jambo na Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko leo Bungeni Jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, wakifuatilia mijadala inayo endelea Bungeni Mjini Dodoma Februari 4/2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mwenye suti nyeusi, akisalimiana na Mbunge wa kuteuliwa, Abdalah Bulembo. kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 4, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Shinyanga.Azza Hamad, Bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI JIJINI DODOMA
yaani makala yote MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI JIJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/matukio-mbalimbali-ya-bungeni-jijini.html
0 Response to "MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI JIJINI DODOMA"
Post a Comment