Loading...

TAMASHA LA PASAKA KURINDIMA VIWANJA VYA POSTA, KIJITONYAMA JIJINI DAR

Loading...
TAMASHA LA PASAKA KURINDIMA VIWANJA VYA POSTA, KIJITONYAMA JIJINI DAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAMASHA LA PASAKA KURINDIMA VIWANJA VYA POSTA, KIJITONYAMA JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAMASHA LA PASAKA KURINDIMA VIWANJA VYA POSTA, KIJITONYAMA JIJINI DAR
link : TAMASHA LA PASAKA KURINDIMA VIWANJA VYA POSTA, KIJITONYAMA JIJINI DAR

soma pia


TAMASHA LA PASAKA KURINDIMA VIWANJA VYA POSTA, KIJITONYAMA JIJINI DAR


Na Bakari Madjeshi, Globu ya Jamii

Tamasha kubwa la Pasaka linalosubiriwa kwa hamu linatarajiwa kuanza kuwasha moto kwenye viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, April 21, 2019.

Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar, Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama amesema tamasha hilo litakuwa la kihistoria kutokana na kuzunguka mikoa isiyopungua 10, amesema Mikoa hiyo itaongezwa kwa ajili yakutoa fursa kwa wengine kushuhudia burudani hiyo.

Msama amesema Mikoa ambayo imethibitishwa mpaka sasa kwa Wananchi kukaa mkao wa burudani ni Simiyu, Mwanza na Iringa ambayo imepitishwa na Kamati ya Maandalizi ya Tamasha hilo.

‘’Wakazi wa Dar es Salaam na Mikoani mjiandae na Tamasha hili la Kihistoria, kuna Msanii mkubwa anatarajiwa kuhudhuria tamasha hili, si lakukosa’’, amesema Msama

Pia Msama amesema kuwa lengo kubwa kufanya Tamasha hilo ni kuombea Amani Taifa pamoja na Viongozi wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ambaye amefanya kazi kubwa na nzuri katika kipindi cha uongozi wake ndani ya miaka mitatu.

Kaulimbiu ya Tamasha hilo ni: Umoja na Upendo, hudumisha amani katika nchi.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari maandalizi ya tamasha la Pasaka linalosubiriwa kwa hamu,ambalo linatarajiwa kuanza kuwasha moto kwenye viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, April 21, 2019. Msama amesema kuwa tamasha hilo litakuwa la kihistoria kutokana na kuzunguka mikoa isiyopungua 10, amesema Mikoa hiyo itaongezwa kwa ajili ya kutoa fursa kwa wengine kushuhudia burudani hiyo.

Baadhi ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza Msama Promotions, Alex Msama alipokuwa akizungumza nao leo jijini Dar kuhusu muendelezo wa maandalizi ya tamasha la pasaka.



Hivyo makala TAMASHA LA PASAKA KURINDIMA VIWANJA VYA POSTA, KIJITONYAMA JIJINI DAR

yaani makala yote TAMASHA LA PASAKA KURINDIMA VIWANJA VYA POSTA, KIJITONYAMA JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAMASHA LA PASAKA KURINDIMA VIWANJA VYA POSTA, KIJITONYAMA JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/tamasha-la-pasaka-kurindima-viwanja-vya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAMASHA LA PASAKA KURINDIMA VIWANJA VYA POSTA, KIJITONYAMA JIJINI DAR"

Post a Comment

Loading...