Loading...

TANZIA: MKURUGENZI MKUU TPA ANATANGAZA KIFO CHA BABA YAKE MZAZI MZEE CONATUS VITALIS KAKOKO

Loading...
TANZIA: MKURUGENZI MKUU TPA ANATANGAZA KIFO CHA BABA YAKE MZAZI MZEE CONATUS VITALIS KAKOKO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANZIA: MKURUGENZI MKUU TPA ANATANGAZA KIFO CHA BABA YAKE MZAZI MZEE CONATUS VITALIS KAKOKO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANZIA: MKURUGENZI MKUU TPA ANATANGAZA KIFO CHA BABA YAKE MZAZI MZEE CONATUS VITALIS KAKOKO
link : TANZIA: MKURUGENZI MKUU TPA ANATANGAZA KIFO CHA BABA YAKE MZAZI MZEE CONATUS VITALIS KAKOKO

soma pia


TANZIA: MKURUGENZI MKUU TPA ANATANGAZA KIFO CHA BABA YAKE MZAZI MZEE CONATUS VITALIS KAKOKO

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Deusdedit C.V Kakoko anasikitika kutangaza kifo cha Baba yake mzazi, Mzee Conatus Vitalis Kakoko (81) kilichotokea juzi katika Hospitali ya Agakhan alipokuwa amelazwa kwa takribani wiki moja akisumbuliwa na maradhi ya Ini na Figo.

Hadi umauti unamkuta, Mzee Conatus Vitalis Kakoko ameacha watoto wanne (4) na wajukuu kumi na tano (15).

Misa ya kumuaga marehemu Mzee Conatus Vitalis Kakoko itafanyika katika kanisa la MT. Petrol lililopo Oysterbay siku ya Jumatatu, tarehe 11/2/2019 saa tatu asubuhi.

Mara baada ya misa hiyo, mwili wa marehemu Mzee Conatus Vitalis Kakoko utasafirishwa siku ya Jumatato tarehe 13/02/2019 kweda kijijini kwake, Munjebwe, Rulenge mkoani Kagera kwa mazishi.



Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa. Jina lake litukuzwe.


Hivyo makala TANZIA: MKURUGENZI MKUU TPA ANATANGAZA KIFO CHA BABA YAKE MZAZI MZEE CONATUS VITALIS KAKOKO

yaani makala yote TANZIA: MKURUGENZI MKUU TPA ANATANGAZA KIFO CHA BABA YAKE MZAZI MZEE CONATUS VITALIS KAKOKO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA: MKURUGENZI MKUU TPA ANATANGAZA KIFO CHA BABA YAKE MZAZI MZEE CONATUS VITALIS KAKOKO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/tanzia-mkurugenzi-mkuu-tpa-anatangaza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TANZIA: MKURUGENZI MKUU TPA ANATANGAZA KIFO CHA BABA YAKE MZAZI MZEE CONATUS VITALIS KAKOKO"

Post a Comment

Loading...