Loading...
title : TANZANIA NA AZERBAIJAN KUANZISHA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA
link : TANZANIA NA AZERBAIJAN KUANZISHA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA
TANZANIA NA AZERBAIJAN KUANZISHA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Modest J. Mero (kushoto) akisalimiana na Mwakilishi wa Kudumu wa Azerbaijan katika Umoja wa Mataifa, Balozi Yashar Aliyev jijini New York Marekani. Viingozi hao walikutana kwa ajili ya kusaini Makubaliano ya kuanzisha ushirikiano wa kidiplomasia baina ya Mataifa yao.
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Modest J. Mero (kulia) na Mwakilishi wa Kudumu wa Azerbaijan katika Umoja wa Mataifa, Balozi Yashar Aliyev wakiweka saini Makubaliano ya kuanzisha ushirikiano wa kidiplomasia baina ya Tanzania na Azerbaijan jijini New York, Marekani. Wengine katika picha ni maafisa wa ofisi za Balozi, Bi, Lilian A. Mukasa na Bw. Tofig F. Musayev.
Balozi Mero na Balozi Aliyev wakiagana baada ya kusaini makubaliano ya kuanzisha ushirikiano wa kidiplomasia baina ya mataifa yao.
Hivyo makala TANZANIA NA AZERBAIJAN KUANZISHA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA
yaani makala yote TANZANIA NA AZERBAIJAN KUANZISHA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZANIA NA AZERBAIJAN KUANZISHA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/tanzania-na-azerbaijan-kuanzisha.html
0 Response to "TANZANIA NA AZERBAIJAN KUANZISHA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA"
Post a Comment