Loading...
title : TWPG WAKUTANA NA WAFADHILI WA MRADI WA LSP II
link : TWPG WAKUTANA NA WAFADHILI WA MRADI WA LSP II
TWPG WAKUTANA NA WAFADHILI WA MRADI WA LSP II
Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Margaret Sitta akizunguma katika kikao cha baadhi ya wajumbe wa umoja huo pamoja na wafadhili wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo Awamu ya Pili (LSP II) kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Wakurugenzi wa Idara na Vitengo katika Ofisi ya Bunge wakiwa katika Kakao cha pamoja na wafadhili wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo Awamu ya Pili (LSP II) kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Baadhi ya wafadhili wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo Awamu ya Pili (LSP II) wakifuatilia jambo Katika kikao cha pamoja na Wakurugenzi wa Idara na Vitengo katika Ofisi ya Bunge kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), wakiwa katika kakao pamoja na wafadhili wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo Awamu ya Pili (LSP II) kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Hivyo makala TWPG WAKUTANA NA WAFADHILI WA MRADI WA LSP II
yaani makala yote TWPG WAKUTANA NA WAFADHILI WA MRADI WA LSP II Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TWPG WAKUTANA NA WAFADHILI WA MRADI WA LSP II mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/twpg-wakutana-na-wafadhili-wa-mradi-wa.html
0 Response to "TWPG WAKUTANA NA WAFADHILI WA MRADI WA LSP II"
Post a Comment