Loading...

Watalaam wa Radiolojia kutoka Marekani wawasili Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mloganzila

Loading...
Watalaam wa Radiolojia kutoka Marekani wawasili Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mloganzila - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Watalaam wa Radiolojia kutoka Marekani wawasili Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mloganzila, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Watalaam wa Radiolojia kutoka Marekani wawasili Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mloganzila
link : Watalaam wa Radiolojia kutoka Marekani wawasili Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mloganzila

soma pia


Watalaam wa Radiolojia kutoka Marekani wawasili Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mloganzila



Wataalam wa Radiolojia wakijengewa uwezo wa namna ya kutoa sampuli kwa kuongozwa na mashine ya Utrasound.
Radiolojia jpeg 03
Waalam wa Radilojia kutoka Marekani pamoja na wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mloganzila wakisoma kipimo cha Mamografia ili kubaini uvimbe uliopo kwenye matiti.
Radiolojia jpeg 04
 Dkt. Mwajuma Jumbe akitumia mashine ya Utrasound kupima uvimbe kwenye titi ili kubaini sehemu ambayo uvimbe upo.
Radiolojia 05
Dkt. Tim Rooney (kulia) pamoja na Madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mloganzila wakitoa sampuli ya uvimbe kwenye titi bila kufanya upasuaji (Core Biopsy) kwa kuongozwa na mashine ya Utrasound leo hospitalini hapo.
Radiolojia jpeg 01
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Prof. Lawrence Museru akipokea maelezo mara baada ya kuwasili kwa timu ya watalaam wa Radiolojia kutoka nchini Marekani.

                                                        Timu ya watalaam wa Radiolojia kutoka nchini Marekani wamewasili katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mloganzila kwa ajili ya kuwajengea uwezo watalaam wa hospitali hiyo wa kutoa sampuli kwenye vivimbe vya kwenye matiti kupitia njia ya kitaalam (Core Biopsy).

Watalaam hao kwa kushirikiana na wataalam wa Hospitali ya Mloganzila watatoa sampuli kwa watu zaidi ya 50 ambao wana vivimbe kwenye matiti ambapo watashirikiana kutoa huduma hiyo kwa zaidi ya wiki mbili.

Februari 02 hadi Februari 03 mwaka huu Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mloganzila kwa kushirikiana na Madaktari kutoka Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania-MEWATA- walitoa huduma bure ya uchunguzi awali wa kuangalia uvimbe kwenye matiti.Katika zoezi hilo watu zaidi ya 130 walifanyiwa uchunguzi, kati ya hao 36 wamekutwa na vivimbe.


Hivyo makala Watalaam wa Radiolojia kutoka Marekani wawasili Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mloganzila

yaani makala yote Watalaam wa Radiolojia kutoka Marekani wawasili Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mloganzila Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Watalaam wa Radiolojia kutoka Marekani wawasili Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mloganzila mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/watalaam-wa-radiolojia-kutoka-marekani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Watalaam wa Radiolojia kutoka Marekani wawasili Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mloganzila"

Post a Comment

Loading...