Loading...

UMOJA WA AFRIKA WAPENDEKEZA KUFANYIKA MKUTANO KUTATUA MGOGORO NCHINI LIBYA

Loading...
UMOJA WA AFRIKA WAPENDEKEZA KUFANYIKA MKUTANO KUTATUA MGOGORO NCHINI LIBYA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UMOJA WA AFRIKA WAPENDEKEZA KUFANYIKA MKUTANO KUTATUA MGOGORO NCHINI LIBYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UMOJA WA AFRIKA WAPENDEKEZA KUFANYIKA MKUTANO KUTATUA MGOGORO NCHINI LIBYA
link : UMOJA WA AFRIKA WAPENDEKEZA KUFANYIKA MKUTANO KUTATUA MGOGORO NCHINI LIBYA

soma pia


UMOJA WA AFRIKA WAPENDEKEZA KUFANYIKA MKUTANO KUTATUA MGOGORO NCHINI LIBYA

Na Ripota Wetu
UMOJA wa Afrika umependekeza kufanyika mkutano wa kimataifa Julai mwaka huu kwa ajili ya kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa Libya na pia kuitisha uchaguzi Oktoba.

Katika taarifa yake, umoja huo umesema leo Februari 12 ,2019 mkutano huo utafanyika ili kutafuta maridhiano chini ya uratibu wake pamoja na Umoja wa Mataifa. Pia umeiomba Tume ya Umoja wa Afrika kushirikiana na Umoja wa Mataifa na Serikali ya Libya kwa ajili ya kupanga uchaguzi wa urais na bunge mnamo Oktoba mwaka huu.

Mwenyekiti wa sasa wa Umoja huo, Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi amesisitiza kuwa matatizo ya Afrika yatatatuliwa na waaafrika wenyewe na kwamba Libya imekuwa chini ya tawala hasimu na makundi ya wanamgambo tangu kuuawa kwa Moammer Ghadaffi mwaka 2011.

Inaelezwa kuwa uhasama ni baina ya Serikali inayotambulika na jumuiya ya kimataifa pamoja na ile inayoungwa mkono na Jenerali Khalifa Haftar.

CHANZO: DW



Hivyo makala UMOJA WA AFRIKA WAPENDEKEZA KUFANYIKA MKUTANO KUTATUA MGOGORO NCHINI LIBYA

yaani makala yote UMOJA WA AFRIKA WAPENDEKEZA KUFANYIKA MKUTANO KUTATUA MGOGORO NCHINI LIBYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UMOJA WA AFRIKA WAPENDEKEZA KUFANYIKA MKUTANO KUTATUA MGOGORO NCHINI LIBYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/umoja-wa-afrika-wapendekeza-kufanyika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UMOJA WA AFRIKA WAPENDEKEZA KUFANYIKA MKUTANO KUTATUA MGOGORO NCHINI LIBYA"

Post a Comment

Loading...