Loading...

UTT AMIS YAWANOA WASTAAFU MKOANI MOROGORO

Loading...
UTT AMIS YAWANOA WASTAAFU MKOANI MOROGORO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UTT AMIS YAWANOA WASTAAFU MKOANI MOROGORO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UTT AMIS YAWANOA WASTAAFU MKOANI MOROGORO
link : UTT AMIS YAWANOA WASTAAFU MKOANI MOROGORO

soma pia


UTT AMIS YAWANOA WASTAAFU MKOANI MOROGORO

UTT AMIS ni Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Fedha ambayo inatoa huduma ya Uwekezaji kupitia mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja.

Kwa sasa inaendesha mifuko mitano ambayo ni Umoja, Wekeza Maisha, Watoto, Jikimu na Ukwasi.UTT AMIS hutoa elimu bure kwa makundi mbalimbali ili kuwawezesha kuwa na uelewa mpana juu ya masuala ya uwekezaji kwenye masoko ya fedha na mitaji.

Kwa sasa timu ya maafisa wa UTT AMIS walishiriki katika mafunzo ya wastaafu yaliyoandaliwa na Kampuni ya Taifa ya Tija ya (NIP) ili kuwajengea wastaafu watarajiwa uelewa mpana juu ya mpango wa uwekezaji kwenye mifuko inayoendeshwa na UTT.
Baadhi ya washiriki wa semina ya wastaafu iliyoandaliwa na Shirika la Tija la Taifa 'National Institute of Productivity' wakisikiliza mada juu ya uwekezaji wa pamoja pindi watakapostaafu.
Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Daudi Mbaga, akitoa mada katika semina iliyoandaliwa kwa ajili ya wastaafu mkoani Morogoro iliyoandaliwa na Shirika la Tija la Taifa 'National Institute of Productivity'. 
Ofisa Masoko na Uhusiano Mwandamizi wa UTT AMIS, Martha Mashiku, akisikiliza maswali kutoka kwa washiriki wa semina.




Hivyo makala UTT AMIS YAWANOA WASTAAFU MKOANI MOROGORO

yaani makala yote UTT AMIS YAWANOA WASTAAFU MKOANI MOROGORO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UTT AMIS YAWANOA WASTAAFU MKOANI MOROGORO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/utt-amis-yawanoa-wastaafu-mkoani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UTT AMIS YAWANOA WASTAAFU MKOANI MOROGORO"

Post a Comment

Loading...