Loading...

KAMPENI YA 'LET'S DO IT' YAWAKUTANISHA PAMOJA WATANZANIA KUFANYA USAFI

Loading...
KAMPENI YA 'LET'S DO IT' YAWAKUTANISHA PAMOJA WATANZANIA KUFANYA USAFI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMPENI YA 'LET'S DO IT' YAWAKUTANISHA PAMOJA WATANZANIA KUFANYA USAFI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMPENI YA 'LET'S DO IT' YAWAKUTANISHA PAMOJA WATANZANIA KUFANYA USAFI
link : KAMPENI YA 'LET'S DO IT' YAWAKUTANISHA PAMOJA WATANZANIA KUFANYA USAFI

soma pia


KAMPENI YA 'LET'S DO IT' YAWAKUTANISHA PAMOJA WATANZANIA KUFANYA USAFI

 Wadau mbalimbali wa Mazingira wakifanya usafi kwenye ufukwe wa Coco, Kinondoni Jijini Dar es salaam katika kuadhimisha siku ya usafi duniani iliyofanyika mwishoni mwa wiki kupitia kampeni ya ‘Let’s Do it’ iliyolenga kuondoa taka kutoka kwenye mazingira ya asili. #KINONDONI
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo akizungumza na wadau mbalimbali wa Mazingira kwenye ufukwe wa Coco katika kuadhimisha siku ya usafi duniani iliyofanyika mwishoni mwa wiki kupitia Kampeni ya ‘Let’s Do it’ iliyolenga kuondoa taka kutoka kwenye mazingira ya asili. #KIGAMBONI
 Wadau mbalimbali wa Mazingira wakifanya usafi eneo la Ferry Sokoni, Kigamboni jijini Dar es salaam katika kuadhimisha siku ya usafi duniani iliyofanyika mwishoni mwa wiki kupitia kampeni ya ‘Let’s Do it’, iliyolenga kuondoa taka kutoka kwenye mazingira ya asili.
#MBEZI MWISHO - UBUNGO
Ilikuwa ni siku ya kuadhimisha siku ya Usafi Duniani iliyofanyika mwishoni kwa wiki iliyopita wakazi wa Mbezi Mwisho, Ubungo jijini Dar es Salaam walikufanyika na kufanya usafi katika maeneo yao ya biashara na majumbani kupitia kampeni ya #LetsDoit. Zoezi hili la usafi kwa Tanzania lilifanyika katika miji 33 ikiwa na Temeke, Kinondoni, Morogoro, Arusha n.k. 
Kila mmoja akiwajibika kukusanya pamoja taka taka ili kuweka mazingira yao salama.
Uongozi wa Kata ya Msigani ukiwa mbele ya vifurushi vya taka taka walizokusanya pamoja na wananchi wao.
Moja ya vibao vilivyowekwa mitaani kuzuia utupaji wa taka taka ovyo.

Vijana waliojitokeza katika suala la usafi wa mazingira.


Hivyo makala KAMPENI YA 'LET'S DO IT' YAWAKUTANISHA PAMOJA WATANZANIA KUFANYA USAFI

yaani makala yote KAMPENI YA 'LET'S DO IT' YAWAKUTANISHA PAMOJA WATANZANIA KUFANYA USAFI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMPENI YA 'LET'S DO IT' YAWAKUTANISHA PAMOJA WATANZANIA KUFANYA USAFI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/kampeni-ya-lets-do-it-yawakutanisha_18.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMPENI YA 'LET'S DO IT' YAWAKUTANISHA PAMOJA WATANZANIA KUFANYA USAFI"

Post a Comment

Loading...