Loading...

UZINDUZI WA UTIAJI DAWA MAJUMBANI WAFANYIKA ZANZIBAR.

Loading...
UZINDUZI WA UTIAJI DAWA MAJUMBANI WAFANYIKA ZANZIBAR. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UZINDUZI WA UTIAJI DAWA MAJUMBANI WAFANYIKA ZANZIBAR., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UZINDUZI WA UTIAJI DAWA MAJUMBANI WAFANYIKA ZANZIBAR.
link : UZINDUZI WA UTIAJI DAWA MAJUMBANI WAFANYIKA ZANZIBAR.

soma pia


UZINDUZI WA UTIAJI DAWA MAJUMBANI WAFANYIKA ZANZIBAR.

Baadhi ya Watia Dawa majumbaji waliohudhuria katika Uzinduzi wa Upigaji Dawa Majumbani Uliofanyika Shehia ya Miwani Uwanja wa Mpira  Kiboje Wilaya ya Kati Unguja.Ambapo jumla ya shehia 30 zinatarajiwa kupigwa dawa hiyo.
Mtiaji Dawa za Majumbani akifanya kazi ya Utiaji dawa baada ya Uzinduzi wa Upigaji Dawa Majumbani Uliofanyika Shehia ya Miwani Uwanja wa Mpira  Kiboje Wilaya ya Kati Unguja. Ambapo jumla ya shehia 30 zinatarajiwa kupigwa dawa hiyo.
Kikundi cha Utamaduni cha vijana Ngoma kutoka Amani Mkoa kikitumbuiza katika Uzinduzi wa Upigaji Dawa Majumbani Uliofanyika Shehia ya Miwani Uwanja wa Mpira  Kiboje Wilaya ya Kati Unguja. Ambapo jumla ya shehia 30 zinatarajiwa kupigwa dawa hiyo.
Afisa mipango Wilaya ya Kati  Ali Omar Makame akitoa hotuba ya makaribisho   katika Uzinduzi wa Upigaji Dawa Majumbani Uliofanyika Shehia ya Miwani Uwanja wa Mpira  Kiboje Wilaya ya Kati Unguja. Ambapo jumla ya shehia 30 zinatarajiwa kupigwa dawa hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Kati Mashavu Saidi Sukwa akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Upigaji Dawa Majumbani Uliofanyika Shehia ya Miwani Uwanja wa Mpira  Kiboje Wilaya ya Kati Unguja. Ambapo jumla ya shehia 30 zinatarajiwa kupigwa dawa hiyo.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhurika katika Uzinduzi wa Upigaji Dawa Majumbani Uliofanyika Shehia ya Miwani Uwanja wa Mpira  Kiboje Wilaya ya Kati Unguja. Ambapo jumla ya shehia 30 zinatarajiwa kupigwa dawa hiyo.


Hivyo makala UZINDUZI WA UTIAJI DAWA MAJUMBANI WAFANYIKA ZANZIBAR.

yaani makala yote UZINDUZI WA UTIAJI DAWA MAJUMBANI WAFANYIKA ZANZIBAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UZINDUZI WA UTIAJI DAWA MAJUMBANI WAFANYIKA ZANZIBAR. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/uzinduzi-wa-utiaji-dawa-majumbani_23.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UZINDUZI WA UTIAJI DAWA MAJUMBANI WAFANYIKA ZANZIBAR."

Post a Comment

Loading...