Loading...
title : WADAU WA MITINDO NA UREMBO WAALIKWA KUSHIRIKI MAONESHO NCHINI CHINA
link : WADAU WA MITINDO NA UREMBO WAALIKWA KUSHIRIKI MAONESHO NCHINI CHINA
WADAU WA MITINDO NA UREMBO WAALIKWA KUSHIRIKI MAONESHO NCHINI CHINA
Makamu wa Rais wa Maonyesho ya Wachina Maarufu kama China International Beauty Expo African Hall, Rex Chan akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Maonesho urembo yatakayofanyika mjini Guanzhou nchini China.
Mkurugenzi Msaidizi na Mratibu wa Maonyesho hayo katika ukanda Afrika, Hifan Zhonga akizungumza na waandishi wa habari kuhusu namna gani watanzania wanaweza kushiriki maonyesho hayo.
Mwandishi wa Habari wa Chanel Ten, Kibwana Dachi akiuliza swali kuhusu vipodozi vitakavyoingizwa hapa nchini kutokea china.
Baadhi ya Wadau na Waandishi wa Habari walioshiriki katika mkutano huo wakifatilia mada zinazowasilishwa kwa Makini.
Sehemu ya waandishi na wadau wa urembo walioshiriki Mkutano huo wakionekana kwa nyuma kama walivyopigwa.
Hivyo makala WADAU WA MITINDO NA UREMBO WAALIKWA KUSHIRIKI MAONESHO NCHINI CHINA
yaani makala yote WADAU WA MITINDO NA UREMBO WAALIKWA KUSHIRIKI MAONESHO NCHINI CHINA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WADAU WA MITINDO NA UREMBO WAALIKWA KUSHIRIKI MAONESHO NCHINI CHINA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/wadau-wa-mitindo-na-urembo-waalikwa.html
0 Response to "WADAU WA MITINDO NA UREMBO WAALIKWA KUSHIRIKI MAONESHO NCHINI CHINA"
Post a Comment