Loading...

WANARIADHA 28 KUINGIA KAMBINI KUJIANDAA NA MBIO ZA NYIKA NCHINI DENMARK

Loading...
WANARIADHA 28 KUINGIA KAMBINI KUJIANDAA NA MBIO ZA NYIKA NCHINI DENMARK - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANARIADHA 28 KUINGIA KAMBINI KUJIANDAA NA MBIO ZA NYIKA NCHINI DENMARK, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANARIADHA 28 KUINGIA KAMBINI KUJIANDAA NA MBIO ZA NYIKA NCHINI DENMARK
link : WANARIADHA 28 KUINGIA KAMBINI KUJIANDAA NA MBIO ZA NYIKA NCHINI DENMARK

soma pia


WANARIADHA 28 KUINGIA KAMBINI KUJIANDAA NA MBIO ZA NYIKA NCHINI DENMARK

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
SHIRIKISHO la riadha Tanzania (RT) limetangaza majina ya wanariadha 28 wenye umri wa chini ya miaka 18 na zaidi kwa ajili ya kuingia kambini jijini Arusha. Vijana hao walitangazwa na  Katibu Mkuu wa RT Wilhem Gidabuday na wataingia kambini kwa ajili ya mbio za nyika  zitakazofanyika nchini Denmark mwaka huu.

Amesema mbio hizo zitahusisha wanariadha chini ya miaka 18 na zaidi ya miaka kumi na nane kwa ajili ya maandalizi rasmi ya mbio za Olimpiki zinazofanyika Tokyo nchini Japani kila mwaka. Gidabuday amesema wanariadha hao wataingia kambini  februari 20 mwaka huu ambapo wakiwa kambini watafanya mchujo utakaofikia wanariadha 20 watakaoenda katika mashindano ya mbio za nyika nchini Denmark.

Gidabuday amesema kwa mwaka huu wamekuwa na matarajio ya wanariadha wa Tanzania kupeperusha vyema bendera ya taifa katika kutangaza vivutio vya utalii hapa nchini. Mshindi wa kwanza wa mbio za nyika nchini Denmark atazawadiwa kitita cha EURO elfu 60 na zawadi za medali za dhahabu na silva zitatolewa.


Hivyo makala WANARIADHA 28 KUINGIA KAMBINI KUJIANDAA NA MBIO ZA NYIKA NCHINI DENMARK

yaani makala yote WANARIADHA 28 KUINGIA KAMBINI KUJIANDAA NA MBIO ZA NYIKA NCHINI DENMARK Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANARIADHA 28 KUINGIA KAMBINI KUJIANDAA NA MBIO ZA NYIKA NCHINI DENMARK mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/wanariadha-28-kuingia-kambini-kujiandaa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WANARIADHA 28 KUINGIA KAMBINI KUJIANDAA NA MBIO ZA NYIKA NCHINI DENMARK"

Post a Comment

Loading...