Loading...

WANACCM KAGERA WACHANGIA UJENZI WA DARASA LA SEKONDARI

Loading...
WANACCM KAGERA WACHANGIA UJENZI WA DARASA LA SEKONDARI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANACCM KAGERA WACHANGIA UJENZI WA DARASA LA SEKONDARI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANACCM KAGERA WACHANGIA UJENZI WA DARASA LA SEKONDARI
link : WANACCM KAGERA WACHANGIA UJENZI WA DARASA LA SEKONDARI

soma pia


WANACCM KAGERA WACHANGIA UJENZI WA DARASA LA SEKONDARI

Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Kagera, Ramadan Kambuga (aliyevaa shati ya rangi ya njano) akiwaongoza makada wenzake wa chama hicho katika ujenzi wa chumba cha darasa katika Sekondari ya Kalema Kata Buendangabo ikiwa ni utekelezaji wa ilani ya CCM.
Bw. Ramadan Kambuga akipanda mti katika eneo la shule hiyo.


WANACHAMA wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa Kushirikiana na viongozi wa chama hicho ngazi ya Wilaya Bukoba mjini mkoani Kagera wameshiriki zoezi la usombaji mawe kwa ajili ya ujenzi wa chumba cha darasa katika Shule ya Sekondari ya Kalema Kata Buendangabo na kupanda miti ikiwa ni kuazimisha miaka 42 ya kuzaliwa kwa chama hicho. 

Mjumbe wa Halmashauri Kuu wa chama hicho Mkoa wa Kagera, Ramadan Kambuga (aliyevaa shati ya rangi ya njano) ambaye pia ameshiriki zoezi hilo,amesema kuwa ujenzi wa chumba hicho cha darasa ni utekelezaji wa ilani ya CCM. 

Kutokana na msongamano wa manafunzi darasani katika shule hiyo Bwana Kambuga ametoa kiasi cha shilingi laki moja ili isaidie kuongeza nguvu na kuweza kuondoa adha hiyo ambayo inawakabili wanafunzi wa shule hiyo. 

Bwana Kambuga pia amesema wao kama wadau wa maendeleo na wasimamizi wa serikali kupitia Chama cha Mapinduzi wataendelea kuunga mkono jitihada zinazofanywa na serikali ili kuwaletea maendeleo wananchi.
Bw. Ramadan Kambuga, akiwa na makada wenzake wakati wa ujenzi wa darasa hilo. 


Hivyo makala WANACCM KAGERA WACHANGIA UJENZI WA DARASA LA SEKONDARI

yaani makala yote WANACCM KAGERA WACHANGIA UJENZI WA DARASA LA SEKONDARI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANACCM KAGERA WACHANGIA UJENZI WA DARASA LA SEKONDARI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/wanaccm-kagera-wachangia-ujenzi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANACCM KAGERA WACHANGIA UJENZI WA DARASA LA SEKONDARI"

Post a Comment

Loading...