Loading...

WARSHA YA WADAU KWA AJILI YA KUPITIA RASIMU YA RIPOTI YA HALI YA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU

Loading...
WARSHA YA WADAU KWA AJILI YA KUPITIA RASIMU YA RIPOTI YA HALI YA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WARSHA YA WADAU KWA AJILI YA KUPITIA RASIMU YA RIPOTI YA HALI YA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WARSHA YA WADAU KWA AJILI YA KUPITIA RASIMU YA RIPOTI YA HALI YA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU
link : WARSHA YA WADAU KWA AJILI YA KUPITIA RASIMU YA RIPOTI YA HALI YA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU

soma pia


WARSHA YA WADAU KWA AJILI YA KUPITIA RASIMU YA RIPOTI YA HALI YA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU

 Mkurugenzi wa Mazingira wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Profesa William Mwegoha akimkaribisha Mgeni Rasmi kufungua warsha ya Wadau kwa ajili ya kupitia rasimu ya Ripoti ya hali ya Wachimbaji wadogo wa dhahabu iliyofanyika jijini Dodoma.
 Mgeni Rasmi ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya  Sera na Mipango  kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Paul Sangawe, akisoma hotuba ya ufunguzi wa Warsha hiyo ikiwa anamuwakilisha Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais.  Waliokaa kulia ni Mkurugenzi wa Mazingira wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Profesa William Mwegoha na kushoto ni Mkurugenz i Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Magdalena Mtenga.
 Sehemu ya Washiriki waliohudhuria Warsha hiyo ya kupitia rasimu ya Ripoti ya Wachimbaji wadogo wa dhahabu.
Mgeni Rasmi akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wote waliohudhuria Warsha hiyo iliyofanyika jijini Dodoma. 



Hivyo makala WARSHA YA WADAU KWA AJILI YA KUPITIA RASIMU YA RIPOTI YA HALI YA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU

yaani makala yote WARSHA YA WADAU KWA AJILI YA KUPITIA RASIMU YA RIPOTI YA HALI YA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WARSHA YA WADAU KWA AJILI YA KUPITIA RASIMU YA RIPOTI YA HALI YA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/warsha-ya-wadau-kwa-ajili-ya-kupitia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WARSHA YA WADAU KWA AJILI YA KUPITIA RASIMU YA RIPOTI YA HALI YA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU"

Post a Comment

Loading...