Loading...

WAZIRI ENG. KAMWELWE AZUNGUMZA NA TATOA

Loading...
WAZIRI ENG. KAMWELWE AZUNGUMZA NA TATOA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI ENG. KAMWELWE AZUNGUMZA NA TATOA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI ENG. KAMWELWE AZUNGUMZA NA TATOA
link : WAZIRI ENG. KAMWELWE AZUNGUMZA NA TATOA

soma pia


WAZIRI ENG. KAMWELWE AZUNGUMZA NA TATOA




Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa malori nchini (TATOA) Bw, Elius Lukumay hayuko pichani katika kikao kazi cha kujadiliana namna bora ya kufuata sheria ya kudhibiti uzito wa magari ili kulinda barabara nchini kilichofanyika mjini Dodoma leo. 
2-min
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe akisisitiza jambo katika kikao cha wataalam wa Wizara yake na viongozi wa TATOA kilichofanyika mjini Dodoma, (kulia) ni Naibu Waziri wa Ujenzi Mh. Elias Kwandikwa na (kushoto) ni Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Atashasta Nditie.
3-min
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe akijadiliana jambo na Makamu Mwenyekiti wa TATOA  Bw, Elius Lukumay katika kikao cha viongozi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano na TATOA cha kujadiliana namna bora ya kufuata sheria ya kudhibiti uzito wa magari ili kulinda barabara na madaraja hapa nchini. 


Hivyo makala WAZIRI ENG. KAMWELWE AZUNGUMZA NA TATOA

yaani makala yote WAZIRI ENG. KAMWELWE AZUNGUMZA NA TATOA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI ENG. KAMWELWE AZUNGUMZA NA TATOA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/waziri-eng-kamwelwe-azungumza-na-tatoa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI ENG. KAMWELWE AZUNGUMZA NA TATOA"

Post a Comment

Loading...