Loading...

WAZIRI MKUU ASHUHUDIA MWAFUNZI ASIYE NA MIKONO AKIANDIKA KWA KUTUMIA VIDOLE VYA MGUU

Loading...
WAZIRI MKUU ASHUHUDIA MWAFUNZI ASIYE NA MIKONO AKIANDIKA KWA KUTUMIA VIDOLE VYA MGUU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU ASHUHUDIA MWAFUNZI ASIYE NA MIKONO AKIANDIKA KWA KUTUMIA VIDOLE VYA MGUU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU ASHUHUDIA MWAFUNZI ASIYE NA MIKONO AKIANDIKA KWA KUTUMIA VIDOLE VYA MGUU
link : WAZIRI MKUU ASHUHUDIA MWAFUNZI ASIYE NA MIKONO AKIANDIKA KWA KUTUMIA VIDOLE VYA MGUU

soma pia


WAZIRI MKUU ASHUHUDIA MWAFUNZI ASIYE NA MIKONO AKIANDIKA KWA KUTUMIA VIDOLE VYA MGUU

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia  wakati mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza katika Shule ya Sekondari ya ST. Pamachius Inclusive, Joseph Mtei ambaye hana mikono, alipokuwa akiandika kwa kutumia  vidole vya mguu   baada ya Waziri Mkuu kuzindua Shule hiyo, Februari 22, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakisoma maandishi yaliyoandikwa kwa kutumia vidole vya mguu na  Joseph Mtei ambaye ni Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza katika  Shule ya Sekondari ya ST.  Pamchius  Inclusive ya wilayani Hai,  Februari 22, 2019.  Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Anna Mgwira na wa pili kushoto  ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa, Joyce Ndalichako. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Shule ya Sekondari ya  St. Pamachiwa  Inclusive wilayani Hai, Februari 22, 2019. Kulia ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Arusha, Isaac Amani na wa pili kulia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala WAZIRI MKUU ASHUHUDIA MWAFUNZI ASIYE NA MIKONO AKIANDIKA KWA KUTUMIA VIDOLE VYA MGUU

yaani makala yote WAZIRI MKUU ASHUHUDIA MWAFUNZI ASIYE NA MIKONO AKIANDIKA KWA KUTUMIA VIDOLE VYA MGUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU ASHUHUDIA MWAFUNZI ASIYE NA MIKONO AKIANDIKA KWA KUTUMIA VIDOLE VYA MGUU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/waziri-mkuu-ashuhudia-mwafunzi-asiye-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU ASHUHUDIA MWAFUNZI ASIYE NA MIKONO AKIANDIKA KWA KUTUMIA VIDOLE VYA MGUU"

Post a Comment

Loading...