Loading...
title : CCM YATEUA WAGOMBEA UBUNGE KINONDONI NA SIHA
link : CCM YATEUA WAGOMBEA UBUNGE KINONDONI NA SIHA
CCM YATEUA WAGOMBEA UBUNGE KINONDONI NA SIHA
PAMOJA NA MAJIMBO YA SIHA (KILIMANJARO) NA KINONDONI (DAR ES SALAAM)
____________________
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kuujulisha umma wa wanachama wa CCM kuwa kimepokea taarifa kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa kutakuwa na uchaguzi wa marudio katika Kata na Majimbo yaliyotajwa hapo juu.
Wanachama wote wenye sifa za msingi kwa mujibu wa Katiba ya Nchi na waliokidhi vigezo vya uanachama kwa mujibu wa Katiba ya CCM na Kanuni zake wanahamasishwa kujitokeza ili kuomba ridhaa ya Chama kupeperusha bendera ya CCM katika Uchaguzi huu wa marudio isipokuwa na kama inakavyoelekezwa na taarifa hii.
Aidha Chama kimejipanga kufanya kampeni za kistaarabu na kisayansi, na zilizosheheni siasa za hoja na zinazojikita katika kushughulika na shida za wananchi na hatimaye kushinda kwa kishindo katika uchaguzi huu wa marudio. Kwa maana hii, msisitizo unawekwa kwa wanao omba ridhaa ya kugombea, vikao vya uchujaji na mapendekezo, na vikao vya uteuzi kuzingatia Misingi ya Maadili na kuhakikisha waombaji wana akisi uaminifu, uadilifu, uchapakazi, heshima kwa watu, ukubalifu wa imani, siasa na itikadi ya CCM, nidhamu kwa chama na wawe watu ambao umma wa wananchi unawatambua kwa nafasi yao katika jamii inapokuja katika kushughulika na shida zao.
Hivyo makala CCM YATEUA WAGOMBEA UBUNGE KINONDONI NA SIHA
yaani makala yote CCM YATEUA WAGOMBEA UBUNGE KINONDONI NA SIHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CCM YATEUA WAGOMBEA UBUNGE KINONDONI NA SIHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/ccm-yateua-wagombea-ubunge-kinondoni-na.html
0 Response to "CCM YATEUA WAGOMBEA UBUNGE KINONDONI NA SIHA"
Post a Comment