Loading...
title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA WATENDAJI WA TASISI YA UTAFITI ZAO LA MICHIKICHI
link : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA WATENDAJI WA TASISI YA UTAFITI ZAO LA MICHIKICHI
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA WATENDAJI WA TASISI YA UTAFITI ZAO LA MICHIKICHI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao kati yake na Mawaziri wa Kilimo, Viwanda na Biashara na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji pamoja na Watendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Zao la Michikichi, alichokiitisha kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Februari 8, 2019. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Angela Kairuki na kushoto kwake ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Maimuna Tarishi. Wapili kulia ni Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga na kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Innocent Bashungwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao kati yake na Mawaziri wa Kilimo, Viwanda na Biashara na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji pamoja na watendaji wa Taasisi ya Utafi wa zao la Michikichi alichokiitisha kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Februari 8, 2019. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Angela Kairuki na kushoto kwake ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Maimuna Tarishi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA WATENDAJI WA TASISI YA UTAFITI ZAO LA MICHIKICHI
yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA WATENDAJI WA TASISI YA UTAFITI ZAO LA MICHIKICHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA WATENDAJI WA TASISI YA UTAFITI ZAO LA MICHIKICHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-akutana-na.html
0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA WATENDAJI WA TASISI YA UTAFITI ZAO LA MICHIKICHI"
Post a Comment