Loading...

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS DKT MAGUFULI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA ADIS ABABA ETHIOPIA

Loading...
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS DKT MAGUFULI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA ADIS ABABA ETHIOPIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS DKT MAGUFULI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA ADIS ABABA ETHIOPIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS DKT MAGUFULI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA ADIS ABABA ETHIOPIA
link : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS DKT MAGUFULI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA ADIS ABABA ETHIOPIA

soma pia


WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS DKT MAGUFULI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA ADIS ABABA ETHIOPIA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Rais Mstaafu wa Afrika ya Kusini Thabo Mbeki, katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Adis Ababa Ethiopia Februari 10, 2019, (katikati) ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Augustine Mahiga, Waziri Mkuu yupo nchini Ethiopia kumwakilisha Rais Magufuli kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika (AU). 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa kwenye mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika (AU) kumwakilisha Rais Magufuli, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Adis Ababa Ethiopia Februari 10, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa kampuni ya Liyan African iliyowekeza nchini Tanzania Hakim El- Shwehdi, kwenye ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Adis Ababa Ethiopia Februari 10, 2019, Waziri Mkuu yupo nchini Ethiopia kumwakilisha Rais Magufuli kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika (AU), katikati ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Augustine Mahiga.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Augustine Mahiga, ndani ya ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Adis Ababa Ethiopia Februari 10, 2019, Waziri Mkuu yupo nchini Ethiopia kumwakilisha Rais Magufuli kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika (AU)


Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS DKT MAGUFULI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA ADIS ABABA ETHIOPIA

yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS DKT MAGUFULI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA ADIS ABABA ETHIOPIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS DKT MAGUFULI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA ADIS ABABA ETHIOPIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-amwakilisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS DKT MAGUFULI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA ADIS ABABA ETHIOPIA"

Post a Comment

Loading...