Loading...
title : ACACIA KULIPA FIDIA WANANCHIZAIDI YA 200 BILL3.8
link : ACACIA KULIPA FIDIA WANANCHIZAIDI YA 200 BILL3.8
ACACIA KULIPA FIDIA WANANCHIZAIDI YA 200 BILL3.8
Na Frankius Cleophace Tarime.
Mgodi wa Uchimbaji wa Dhahabu ACACIA North Mara Uliopo Nyamongo Wilayani Tarime Mkoani Mara unatarajia kuanza kulipa malipo yafidia ya ardhi kiasi ch Shilingi Billioni 3.8 ambapo zaidi ya Wananchi 200 kutoka vijiji Vilivyofanyiwa tathimini Mwaka 2011-2012 pamoja na awamu za 35, 41,na 42 katika vijiji vya Nyabichune, Mjini kati, Nyangoto, na Nyakunguru watalipwa fedha hizo.
Akiongea na Waandishi wa habari Richard Ojendo ambaye ni Menejani wa idara ya Jamii Endelevu Mgodi wa Dhahabu wa North Mara alisema kuwa Mgodi wa Dhahabu wa North Mara unakusudiua kuanza zoezi la malipo ya fidia ya ardhi kwa wananchi waliopo kwenye vijiji Vinne katika eneo la Nyamongo.
Ojendo aliongeza kuwa vijiji hivyo vilifanyiwa tathimini katika awamu ya 20 ya mwaka 2011-2012 pamoja na awamu za 35,41,na 42 vitalipwa kuanzia kesho.
Pia aliongeza kuwa wananchi wa kijiji cha Nyabichune waliofanyiwa tathimini eneo la Makerero awamu ya 47 kwa waende kuechukua malipo yao ya fidia ifikapo 04 Machi Mwaka huu.
“Zoezi hili ni kwa wananchi halisi wa maeneo na awamua ambazo zimetajwa ambao taarifa zao zilichukuliwa na mgodi kwa ajili ya malipo ya fidia na orodha kamili wananchi watakaolipwa tayari tumekabidhi viuongozi wa vijiji na vitongoji huska” alisema Ojendo.
Aidha Richard aliongeza kuwa malipo kwa awamu nyingine yataendelea kulipwa na wahuska watajulishwa pale muda utakapofika na kuomba wananchi kuendelea kutoa ushirkiano mkubwa dhidi yao na Mgodi wa Uchimbaji wa Dhahabu ACACIA North Mara.
Picha ya Richard Ojendo ambaye ni Menejani wa idara ya Jamii Endelevu Mgodi wa Dhahabu wa North Mara akiongea na Waandishi wa habari juu ya zoezi zima la malipo ya fidia kwa vijiji zaidi ya 200.
Hivyo makala ACACIA KULIPA FIDIA WANANCHIZAIDI YA 200 BILL3.8
yaani makala yote ACACIA KULIPA FIDIA WANANCHIZAIDI YA 200 BILL3.8 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ACACIA KULIPA FIDIA WANANCHIZAIDI YA 200 BILL3.8 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/acacia-kulipa-fidia-wananchizaidi-ya.html
0 Response to "ACACIA KULIPA FIDIA WANANCHIZAIDI YA 200 BILL3.8"
Post a Comment