Loading...
title : Mahafali ya 10 ya Chuo cha uandeishi wa habari na mawasiliano ya umma
link : Mahafali ya 10 ya Chuo cha uandeishi wa habari na mawasiliano ya umma
Mahafali ya 10 ya Chuo cha uandeishi wa habari na mawasiliano ya umma
BAADHI ya Wanafunzi wa Chuo cha Uwandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma Zanzibar ( ZJMMC) wakiwa kwenye maandamano katika Mahafali yaliofanyika Chuoni hapo Kilimani Mjini Zanzibar (Picha na Abdalla Omar).
Mkuu wa Chuo cha Uwandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma Zanzibar (ZJMMC) Bw. Chande Omar Omar akizungumza na kumkaribisha Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar (Picha na Abdalla Omar).
Mgeni rasmi ambae ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Bi. Khadija Bakar Juma akiwahutubia Wananchi na Wanafunzi walioshiriki katika mahafali ya 10 ya Chuo cha Uwandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma Zanzibar ( ZJMMC) yaliofanyika Chuoni hopo Kilimani Mjini Zanzibar (Picha na Abdalla Omar).
Wanafunzi wa Chuo cha Uwandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma Zanzibar ( ZJMMC) wakitunukiwa Stashahada ya Diploma katika mahafali ya 10, yaliofanyika Chuoni hopo Kilimani Mjini Zanzibar (Picha na Abdalla Omar)
Mgeni rasmi ambae ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Bi. Khadija Bakar Juma akipatia zawadi Mwanafunzi aliefanya vizuri zaid katika Somo la Uandishi wa magazeti (PRINT IN JOURNALISM) Fatma Haji Ame (Picha na Abdalla Omar).
Hivyo makala Mahafali ya 10 ya Chuo cha uandeishi wa habari na mawasiliano ya umma
yaani makala yote Mahafali ya 10 ya Chuo cha uandeishi wa habari na mawasiliano ya umma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mahafali ya 10 ya Chuo cha uandeishi wa habari na mawasiliano ya umma mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/mahafali-ya-10-ya-chuo-cha-uandeishi-wa.html
0 Response to "Mahafali ya 10 ya Chuo cha uandeishi wa habari na mawasiliano ya umma"
Post a Comment