Loading...
title : AFISA ELIMU MSINGI AWEKA MIKAKATI MIPYA KWA WALIMU KUONGEZA UFAURU
link : AFISA ELIMU MSINGI AWEKA MIKAKATI MIPYA KWA WALIMU KUONGEZA UFAURU
AFISA ELIMU MSINGI AWEKA MIKAKATI MIPYA KWA WALIMU KUONGEZA UFAURU
KARIM JUMA - CHALINZE
Afisa Elimu Msingi wa Halimshauri ya Wilaya ya Chalinze Bi. Zainabu Makwinya amesema kwamba kwasasa mikakati ya kupandisha elimu kwenye kila shule za msingi za halmashauri kwa kupunguza kabisa kutokuwa na watoto kupata alama ambazo aziwezi kuendelea mbele ,Kikao hiko kilifanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri majira ya saa 8:00 asubuhi huko lugoba ,Chalinze.
Bi. Makwinya amesema kwamba idara ya elimu imeweka fungu maalumu kwa mayitaji ya vifaa vya kuweza kufundisha wanafunzi na ustadi mkubwa na kuweza kuwamasisha walimu kwa kufundisha muda waziada na kupitia mapato ya ndani idara imeona kwa darasa la saba na darasa la nne kuweza kupata masomo ya jioni.
Hata hivyo alisema kwamba niko tayari hata kuweza kutoa mashara wangu kwa darasa au shule wakifauru wote kwa masomo ya sayansi na ufahuru uliokuwa mzuri,Pia mikakati hii tunahitaji nchi iwe na watalamu wengi hapo baadaye wa wasayansi na ukiangaria mabadiliko ya dunia lazima uwitaji watalamu hao.
Pia mkakati moja kuweza kuwafanya walimu kujua umuhimu wao katika shule zote ,pili kutambua changamoto zinazowabakiri kwa wakati ,kupambana na wizara ya elimu kuakikisha upungufu au umalizaji wa madeni sugu kwa walimu wote na kuwaweka walimu na mazingira rafiki kwa maana ya mahitaji wa binadamu.
Bi. Makwinya amesema kwamba atawashauri baraza la madiwani kwa kila kata kufanya uchunguzi kwa walimu na wanafunzi maana wao wapo karibu na izo shule kuweza kutoa taarifa mapema na kuweza kuchukua mahamuzi sahihi.
Bi. Makwinya amesema kilio changu kuona wanafunzi kushindwa kuendelea na masomo kwa sababu chache chache na sitakubali kusikia au kuambiwa kwamba mwanafunzi furani ameacha shule au mzazi/ mlezi ameshindwa kupeleka shule uyo nitang’ang’aniana naye kama pete na kidole.
Hivyo makala AFISA ELIMU MSINGI AWEKA MIKAKATI MIPYA KWA WALIMU KUONGEZA UFAURU
yaani makala yote AFISA ELIMU MSINGI AWEKA MIKAKATI MIPYA KWA WALIMU KUONGEZA UFAURU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala AFISA ELIMU MSINGI AWEKA MIKAKATI MIPYA KWA WALIMU KUONGEZA UFAURU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/afisa-elimu-msingi-aweka-mikakati-mipya.html
0 Response to "AFISA ELIMU MSINGI AWEKA MIKAKATI MIPYA KWA WALIMU KUONGEZA UFAURU"
Post a Comment