Loading...
title : AGIZO LA GAVANA SHILATU LAANZA KUTEKELEZWA
link : AGIZO LA GAVANA SHILATU LAANZA KUTEKELEZWA
AGIZO LA GAVANA SHILATU LAANZA KUTEKELEZWA
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Hatimaye mradi wa ujenzi wa nyumba ya Mwalimu uliosimama tangu Mwaka jana 2018 umeanza tena kujengwa.
Ujenzi huo wa nyumba ya Mwalimu Shule ya Msingi Ngongo iliyopo Kijiji cha Ngongo kata ya Michenjele umeanza kutekelezwa kufuatia agizo alilolitoa Afisa Tarafa Mihambwe Gavana Emmanuel Shilatu la masaa 24 mradi uendelee kujengwa tena.
Gavana Shilatu ameenda kutembelea ujenzi huo Kama alivyohaidi kufuatilia utekelezaji wa agizo lake na kumpongeza Mkandarasi kuja kazini kwa wakati na kumwagiza arekebishe nyufa zote zilizojitokeza na ajenge kwa usafi, ubora unaolingana na thamani ya fedha.
Katika ziara hiyo ya kufuatilia utekelezaji wa agizo lake, Gavana Shilatu aliambatana na Mtendaji wa Kijiji Cha Ngongo, uongozi wa Shule pamoja na kamati ya ujenzi wa mradi huo wa nyumba ya Mwalimu.
Hivyo makala AGIZO LA GAVANA SHILATU LAANZA KUTEKELEZWA
yaani makala yote AGIZO LA GAVANA SHILATU LAANZA KUTEKELEZWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala AGIZO LA GAVANA SHILATU LAANZA KUTEKELEZWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/agizo-la-gavana-shilatu-laanza.html
0 Response to "AGIZO LA GAVANA SHILATU LAANZA KUTEKELEZWA"
Post a Comment