Loading...

BABA MZAZI WA JOHN BUKUKU AZIKWA KIJIJI CHA IWEZI,MBOZI MKOANI SONGWE

Loading...
BABA MZAZI WA JOHN BUKUKU AZIKWA KIJIJI CHA IWEZI,MBOZI MKOANI SONGWE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BABA MZAZI WA JOHN BUKUKU AZIKWA KIJIJI CHA IWEZI,MBOZI MKOANI SONGWE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BABA MZAZI WA JOHN BUKUKU AZIKWA KIJIJI CHA IWEZI,MBOZI MKOANI SONGWE
link : BABA MZAZI WA JOHN BUKUKU AZIKWA KIJIJI CHA IWEZI,MBOZI MKOANI SONGWE

soma pia


BABA MZAZI WA JOHN BUKUKU AZIKWA KIJIJI CHA IWEZI,MBOZI MKOANI SONGWE

3
Baadhi ya wanakijiji pamoja na viongozi mbalimbali wakiwa wamebeba jeneza la Marehemu Marehemu Angolwisye Mwambande Bukuku(101) tayari wakiupeleka kwenye makazi ya milele
4
John Bukuku ambaye ni Mmiliki wa Blogu ya Fullshangwe ,Baba mzazi wake Marehemu Angolwisye Mwambande Bukuku(101), aliyefariki usiku wa kuamkia , Machi 24, 2019.
2
Jana alihifadhiwa katika nyumba ya milele katika kijiji cha Iwezi,wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe ambapo viongozi mbalimbali walihudhuria mazishi hayo wakiwemo viongozi wa CCM mkoa wa Songwe pamoja na mkoa wa Mbeya.
1
index
John Bukuku ambaye ni Mmiliki wa Blogu ya Fullshangwe akiwa na baadhi ya ndugu zake baada ya kumaliza shughuri za kumzika ,Baba yake mzazi Marehemu Angolwisye Mwambande Bukuku(101), aliyefariki , Machi 24, 2019. na kuzikwa jana Machi 26 katika kijiji cha Iwezi,wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe ambapo viongozi mbalimbali walihudhuria mazishi hayo wakiwemo viongozi wa CCM mkoa wa Songwe pamoja na mkoa wa Mbeya.
Bwana alitoa na sasa ametwaa, jina lake lihimidiwe.
Ameen.


Hivyo makala BABA MZAZI WA JOHN BUKUKU AZIKWA KIJIJI CHA IWEZI,MBOZI MKOANI SONGWE

yaani makala yote BABA MZAZI WA JOHN BUKUKU AZIKWA KIJIJI CHA IWEZI,MBOZI MKOANI SONGWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BABA MZAZI WA JOHN BUKUKU AZIKWA KIJIJI CHA IWEZI,MBOZI MKOANI SONGWE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/baba-mzazi-wa-john-bukuku-azikwa-kijiji.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BABA MZAZI WA JOHN BUKUKU AZIKWA KIJIJI CHA IWEZI,MBOZI MKOANI SONGWE"

Post a Comment

Loading...