Loading...

VIJANA TUKILINDA AMANI TUKAWA WAMOJA MAENDELEO YATAKUJA - RC GAGUTI

Loading...
VIJANA TUKILINDA AMANI TUKAWA WAMOJA MAENDELEO YATAKUJA - RC GAGUTI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VIJANA TUKILINDA AMANI TUKAWA WAMOJA MAENDELEO YATAKUJA - RC GAGUTI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VIJANA TUKILINDA AMANI TUKAWA WAMOJA MAENDELEO YATAKUJA - RC GAGUTI
link : VIJANA TUKILINDA AMANI TUKAWA WAMOJA MAENDELEO YATAKUJA - RC GAGUTI

soma pia


VIJANA TUKILINDA AMANI TUKAWA WAMOJA MAENDELEO YATAKUJA - RC GAGUTI


Anaandika Abdullatif Yunus - Kagera.

Katika kuhakikisha Amani na Usalama Wa Taifa la Tanzania iliyoasisiwa na Viongozi waliotangulia inazidi kudumishwa, Vijana Mkoani Kagera wametakiwa kuwa wazalendo, wamoja, wabunifu, na wajasiliamali ili kuondokana na Umaskini.

Akizungumza na Mamia ya Waendesha pikipiki Mkoani hapa wakati Wa Droo ya Kupanga Timu za Vijana hao ambao Jumamosi ijayo wanatarajia kuanza mashindano ya Ligi ya mpira Wa Miguu maarufu kama JPM BODABODA CUP, Mkuu Wa Mkoa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti mnamo 26, Machi 2019 amesema.

Vijana wana dhima na jukumu kubwa la kulinda Amani ya Nchi yetu kupitia shughuli wanazozifanya kikubwa ikiwa ni matumizi bora ya Vyombo vya Moto, na kupitia mashindano hayo ya JPM BODABODA CUP Vijana wataelimishwa zaidi masuala ya Usalama barabarani.

Kwa upande Mwingine Mh. Gaguti amekaririwa akisema kuwa Tayari Serikali Mkoani Kagera imekwishatenga Zaidi ya Milioni 20 kwa ajili ya Vijana kujiendeleza katika shughuli za Ujasiliamali, ambapo anetumia fursa hiyo kuwataka Vijana Wa bodaboda kuimarisha Vikundi vyao kwa ajili ya kupatiwa fedha ambazo zitawasidia kufanya shughuli nyingine za uzalishaji.

Mashindano ya JPM CUP yanayoratibiwa na Ofisi ya Mkuu Wa Mkoa Kagera kwa Kushirikiana na Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama barabarani yanaanza kutimua vumbi rasmi Jumamosi ya Tarehe 30, Machi kwa kuzishirikisha Timu 16 za Waendesha Bodaboda Manispaa ya Bukoba, huku zawadi zikitajwa kuwa ni pamoja na Kombe kwa Washindi Tatu Bora, pamoja na pesa Taslimu Sh. Milioni 6.
Picha ni RC Gaguti akionesha uwezo wake wa kumiliki mpira wakati wa kuelekea kuanza kwa mashindano ya JPM BODABODA CUP 2019 KAGERA, yanayoratibiwa Chini ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na Jeshi la Polisi Kitengo Cha Usalama Barabarani.

 Sehemu ya Vijana wa Bodaboda walohudhuria Uwanjani Kaitaba katika Shughuli ya Kupanga makundi ya Timu zitakazoshiriki Ligi ya Kombe la JPM 2019 KAGERA.
 Mmoja kati ya Viongozi wa Timu za Waendesha pikipiki akiokota karatasi ya Droo ya Upangaji Timu na Makundi katika Mashindano ya JPM BODABODA CUP 2019 KAGERA.
 Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti akizungumza na Vijana Waendesha Bodaboda Uwanjani Kaitaba, katika kuelekea Kuanza kwa Mashindano ya JPM BODABODA CUP Jumamosi ya wiki hii.


Hivyo makala VIJANA TUKILINDA AMANI TUKAWA WAMOJA MAENDELEO YATAKUJA - RC GAGUTI

yaani makala yote VIJANA TUKILINDA AMANI TUKAWA WAMOJA MAENDELEO YATAKUJA - RC GAGUTI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VIJANA TUKILINDA AMANI TUKAWA WAMOJA MAENDELEO YATAKUJA - RC GAGUTI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/vijana-tukilinda-amani-tukawa-wamoja.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "VIJANA TUKILINDA AMANI TUKAWA WAMOJA MAENDELEO YATAKUJA - RC GAGUTI"

Post a Comment

Loading...