Loading...
title : BALOZI KAMALA AISHUKURU TAASISI YA WORLD VISION KWA KAZI NZURI YA KUHUDUMIA WANANCHI WA MISSENYI
link : BALOZI KAMALA AISHUKURU TAASISI YA WORLD VISION KWA KAZI NZURI YA KUHUDUMIA WANANCHI WA MISSENYI
BALOZI KAMALA AISHUKURU TAASISI YA WORLD VISION KWA KAZI NZURI YA KUHUDUMIA WANANCHI WA MISSENYI
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala katikati, akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa World Vision Tanzania Mhe. Gilbert Kamanga wa kwanza kulia na Mkurugenzi wa Miradi wa World Vision Tanzania Dr Yosh Kasilima kushoto mara baada ya kikao cha pamoja kilichofanyika Makao Makuu ya World Vision Arusha leo hii. Balozi Kamala amefika World Vision kuwashukuru kwa kazi nzuri wanayofanya Missenyi kuhudumia Wananchi katika sekta za maji, elimu, na kupambana na umaskini.
Hivyo makala BALOZI KAMALA AISHUKURU TAASISI YA WORLD VISION KWA KAZI NZURI YA KUHUDUMIA WANANCHI WA MISSENYI
yaani makala yote BALOZI KAMALA AISHUKURU TAASISI YA WORLD VISION KWA KAZI NZURI YA KUHUDUMIA WANANCHI WA MISSENYI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI KAMALA AISHUKURU TAASISI YA WORLD VISION KWA KAZI NZURI YA KUHUDUMIA WANANCHI WA MISSENYI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/balozi-kamala-aishukuru-taasisi-ya.html
0 Response to "BALOZI KAMALA AISHUKURU TAASISI YA WORLD VISION KWA KAZI NZURI YA KUHUDUMIA WANANCHI WA MISSENYI"
Post a Comment