Loading...

BODI YA MIKOPO YAPONGEZWA KWA KUFANYA KAZI KWA UFANISI

Loading...
BODI YA MIKOPO YAPONGEZWA KWA KUFANYA KAZI KWA UFANISI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BODI YA MIKOPO YAPONGEZWA KWA KUFANYA KAZI KWA UFANISI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BODI YA MIKOPO YAPONGEZWA KWA KUFANYA KAZI KWA UFANISI
link : BODI YA MIKOPO YAPONGEZWA KWA KUFANYA KAZI KWA UFANISI

soma pia


BODI YA MIKOPO YAPONGEZWA KWA KUFANYA KAZI KWA UFANISI

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii

Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha amesema Bodi ya Mikopo ya Mwanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ni moja ya Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Elimu inafanya kazi kwa ufanisi.

Ole Nasha amesema kuwa bodi imefanya kazi nzuri katika urejeshaji wa Mikopo kwa kukusanya zaidi ya Sh.Bilioni 108 kutoka Milioni 37 kwa mwaka.

Amesema zipo changamoto kwa baadhi ya maafisa mikopo katika vyuo na kujifanya miungu watu ambapo Bodi kuangalia juu ya kuweka mkono katika maafisa hao.

Ole Nasha amesema kuwa kuna matatizo katika za Akaunti za vyuo na kufanya kuchelewa kwa fedha wanafunzi ambapo kimsingi hilo ni tatizo kwa kuwapa usumbufu kwa wanafunzi hao.

Naibu Waziri huyo alitaka bodi katika ukusanyaji huo kwa waajiri wakaidi kuwapeleka mahakamani ili kuwa fundisho kwa wengine wenye tabia hiyo.

Nae Mkurugenzi wa Habari na Elimu kwa Umma wa Bodi hiyo Omega Ngole

Amesema Jumla ya wanafunzi 122,775 walikuwa wamepangiwa mikopo kati yao 41,285 ni wa mwaka wa kwanza na wengine 81,490 wanaoendelea na masomo.

Amesema malengo utoaji mikopo kwa mwaka 2019/2020 imejipanga kutoa mikopo wenye thamani sh.Bilioni 450 kwa Jumla ya wanafunzi 128,285 wakiwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza 50,000.

Ngole amesema kipindi cha Julai 2018 -Januari 2019 Jumla ya Sh.bilioni 108.8 zilikusanywa katika urejeshaji mikopo wakati bodi malengo yake ni kukusanya urejeshaji kwa walionufaika ni sh.bilioni 150.
 Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu wakati alipofanya ziara katika bodi hiyo.
 Mkurugenzi wa Habari na Elimu kwa Umma wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Omega Ngole akitoa taarifa kwa Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha namna bodi inavyoendesha katika uchakataji wa mikopo kwa wanafunzi.
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha akizungumza na Menejimenti ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu HESLB wakati alipofanya ziara katika bodi kujua uendeshaji katika utoaji mikopo ya Elimu ya Juu pamoja na changamoto katika mikopo hiyo.


Hivyo makala BODI YA MIKOPO YAPONGEZWA KWA KUFANYA KAZI KWA UFANISI

yaani makala yote BODI YA MIKOPO YAPONGEZWA KWA KUFANYA KAZI KWA UFANISI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BODI YA MIKOPO YAPONGEZWA KWA KUFANYA KAZI KWA UFANISI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/bodi-ya-mikopo-yapongezwa-kwa-kufanya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BODI YA MIKOPO YAPONGEZWA KWA KUFANYA KAZI KWA UFANISI"

Post a Comment

Loading...