Loading...
title : BREAKING NEWZZZZ: MTANGAZAJI WA CLOUDS FM EPHRAHIM KIBONDE AFARIKI DUNIA LEO
link : BREAKING NEWZZZZ: MTANGAZAJI WA CLOUDS FM EPHRAHIM KIBONDE AFARIKI DUNIA LEO
BREAKING NEWZZZZ: MTANGAZAJI WA CLOUDS FM EPHRAHIM KIBONDE AFARIKI DUNIA LEO
Michuzi Media Group imepokea taarifa za mshituko na masikitiko makuwa asubuhi ya leo, kufuatia kifo cha mtangazaji wa habari wa Clouds FM,Ndugu Ephrahim Kibonde.
Taarifa zinaeleza kuwa Mkuu wa mkoa wa Mwanza ,Mh. John Mongella amethibitisha kufariki kwa mtangazaji huyo kutokana na kusumbuliwa na presha.
Imeelezwa kuwa Kibonde alianza kusumbuliwa na Presha tangu akiwa Bukoba kwenye msiba wa Marehemu Ruge Mutahaba na baadae akahamishiwa Mwanza kwa uangalizi zaidi.
Aidha Mkuu wa vipindi wa Clouds FM,Sebastian Maganga amethibitisha kufariki Dunia kwa Ephrahim Kibonde leo asubuhi katika hospitali ya Bugando,jijini Mwanza.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN.
TUTAENDELEA KUWALETEA TAARIFA ZAIDI ,KADIRI YA ZITAKAVYOKUWA ZINATUJIA
Hivyo makala BREAKING NEWZZZZ: MTANGAZAJI WA CLOUDS FM EPHRAHIM KIBONDE AFARIKI DUNIA LEO
yaani makala yote BREAKING NEWZZZZ: MTANGAZAJI WA CLOUDS FM EPHRAHIM KIBONDE AFARIKI DUNIA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWZZZZ: MTANGAZAJI WA CLOUDS FM EPHRAHIM KIBONDE AFARIKI DUNIA LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/breaking-newzzzz-mtangazaji-wa-clouds.html
0 Response to "BREAKING NEWZZZZ: MTANGAZAJI WA CLOUDS FM EPHRAHIM KIBONDE AFARIKI DUNIA LEO"
Post a Comment