Loading...
title : Breaking Nyuzzzzz: Mtangazaji Ephrahim Kibonde afariki Dunia
link : Breaking Nyuzzzzz: Mtangazaji Ephrahim Kibonde afariki Dunia
Breaking Nyuzzzzz: Mtangazaji Ephrahim Kibonde afariki Dunia
Mtangazaji maarufu nchini kutokea kituo cha Radio Clouds FM, Ephrahim Kibonde amefariki dunia alfajiri ya leo huko jijini Mwanza alipokuwa akipatiwa matibabu. Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongela amethibitisha kifo hicho ambapo inadaiwa ni kutokana na kusumbuliwa na presha. inaelezwa kuwa Kibonde Alianza kusumbuliwa na Presha tangu Bukoba kwenye msiba wa Ruge Mutahaba na kuhamishiwa Mwanza kwa matibabu. Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahala pema- Amein
Hivyo makala Breaking Nyuzzzzz: Mtangazaji Ephrahim Kibonde afariki Dunia
yaani makala yote Breaking Nyuzzzzz: Mtangazaji Ephrahim Kibonde afariki Dunia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Breaking Nyuzzzzz: Mtangazaji Ephrahim Kibonde afariki Dunia mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/breaking-nyuzzzzz-mtangazaji-ephrahim.html
0 Response to "Breaking Nyuzzzzz: Mtangazaji Ephrahim Kibonde afariki Dunia"
Post a Comment