Loading...
title : CRDB-TAWI LA MLIMANI CITY WASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
link : CRDB-TAWI LA MLIMANI CITY WASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
CRDB-TAWI LA MLIMANI CITY WASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Mwanadiplomasia,Gertrude Mongella akizungumza machache na wafanya kazi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City leo siku wanawake duniani ambayo hufanyika Machi 8 kila mwaka ambapo amewaasa kufanya kazi kwa bidii na kujitambua katika jamii inayowazunguka.
Kaimu Mkurugenzi benki ya Benki ya CRDB tawi la Mlimani City,Adelphina Barongo akizungumza na wafanyakazi benki hiyo katika siku wanawake duniani ambayo hufanyika Machi 8 kila mwaka.
Mwanadiplomasia,Gertrude Mongella akikata keki pamoja na wafanya kazi wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam kwaajili ya kusherekea siku ya wanawake duniani ambayo hufanyika Machi 8 kila mwaka.
Mwanadiplomasia,Gertrude Mongella akimlisha keki Kaimu Mkurugenzi benki ya Benki ya CRDB tawi la Mlimani City,Adelphina Barongo
Mwanadiplomasia,Gertrude Mongella akiwa katika picha na wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi Mliman City leo katika maadhimisho siku ya wanawake duniani.
Mwanadiplomasia,Gertrude Mongella akiwa katika picha na wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi Mliman City leo katika maadhimisho siku ya wanawake duniani.
Afisa wa benki ya CRDB tawi Mliman City,Maureen Mwanda kulia akimkabidhi zawadi Mwanadiplomasia,Gertrude Mongella
wafanya kazi wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City wakiwa katika picha ya pampoja mara baada ya kudhimishi siku ya wanawake dunia katika tawi lao jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala CRDB-TAWI LA MLIMANI CITY WASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
yaani makala yote CRDB-TAWI LA MLIMANI CITY WASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CRDB-TAWI LA MLIMANI CITY WASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/crdb-tawi-la-mlimani-city-washerehekea.html
0 Response to "CRDB-TAWI LA MLIMANI CITY WASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI"
Post a Comment