Loading...
title : DC TUNDURU AKUTANA NA WANUFAIKA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI (TASAF).
link : DC TUNDURU AKUTANA NA WANUFAIKA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI (TASAF).
DC TUNDURU AKUTANA NA WANUFAIKA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI (TASAF).
Mkuu wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Juma Homera akiwa na watoto ambao wazazi wao ni wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini(Tasaf) katika kijiji cha Ngalinje wilayani humo,kushoto ni afisa utekelezaji na ufuatiliaji wa mfuko wa maendeleo ya jamii Tasaf wilaya ya Tunduru Emanuel Luhanzo.
Mkuu wa wilaya ya Tunduru Juma Homera akimkabidhi Mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Muungano wilaya ya Tunduru Zainabu Mkwinda risiti ya malipo wakati wa zoezi la malipo kwa kaya maskini katika Mtaa wa Nakayaya wilayani Tunduru.
Mkuu wa wilaya ya Tunduru Komred Juma Homera akizungumza na wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini(Tasaf) hawapo pichani kuelezea utekelezaji wa shughuli mbalimbali za serikali ya awamu ya tano,kushoto ni Afisa ufuatiliaji na utekelezaji wa Tasaf wilaya ya Tunduru Emanuel Luhanzo.
Baadhi ya wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini katika mtaa wa Nakayaya ambao majina yao hayakufahamika mara moja wakisubiri kupokea fedha za ruzuku zinazotolewa na mfuko wa maendeleo ya jamii Tasaf wilaya ya Tunduru.
Hivyo makala DC TUNDURU AKUTANA NA WANUFAIKA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI (TASAF).
yaani makala yote DC TUNDURU AKUTANA NA WANUFAIKA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI (TASAF). Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC TUNDURU AKUTANA NA WANUFAIKA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI (TASAF). mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/dc-tunduru-akutana-na-wanufaika-wa.html
0 Response to "DC TUNDURU AKUTANA NA WANUFAIKA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI (TASAF)."
Post a Comment