Loading...
title : KAMATI YA BAJETI WAPEWA MAFUNZO KUHUSU MASUALA YA JINSIA
link : KAMATI YA BAJETI WAPEWA MAFUNZO KUHUSU MASUALA YA JINSIA
KAMATI YA BAJETI WAPEWA MAFUNZO KUHUSU MASUALA YA JINSIA
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, wakifuatilia mafunzo kuhusu umuhimu wa kuzingatia masuala ya jinsia wakati wa kupanga baajeti.Mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini Arusha yamedhaminiwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) chini ya Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo (LSP II).
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mhe. George Simbachawene wa kwanza kushoto, akifuatili mada katika mafunzo kwa Kamati hiyo kuhusu kuhusu umuhimu wa kuzingatia masuala ya jinsia wakati wa kupanga bajeti yaliyofanyika Jijini Arusha. Anayefuata ni Mratibu wa Mradi wa Kulijengea Uwezo Bunge Awamu ya Pili (LSP), Ndugu Mary Lasway na Ndugu Takawila Msalengena kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, wakihudhuria mafunzo kuhusu umuhimu wa kuzingatia masuala ya jinsia wakati wa kupanga baajeti.Mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini Arusha yamedhaminiwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) chini ya Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo (LSP II).PICHA NA OFISI YA BUNGE
Hivyo makala KAMATI YA BAJETI WAPEWA MAFUNZO KUHUSU MASUALA YA JINSIA
yaani makala yote KAMATI YA BAJETI WAPEWA MAFUNZO KUHUSU MASUALA YA JINSIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA BAJETI WAPEWA MAFUNZO KUHUSU MASUALA YA JINSIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/kamati-ya-bajeti-wapewa-mafunzo-kuhusu.html
0 Response to "KAMATI YA BAJETI WAPEWA MAFUNZO KUHUSU MASUALA YA JINSIA"
Post a Comment