Loading...
title : EFM YAKABIDHI BODABODA MBILI UFUNGUZI PAZIA LA SHIKA NDINGA MSIMU WA TANO
link : EFM YAKABIDHI BODABODA MBILI UFUNGUZI PAZIA LA SHIKA NDINGA MSIMU WA TANO
EFM YAKABIDHI BODABODA MBILI UFUNGUZI PAZIA LA SHIKA NDINGA MSIMU WA TANO
Meneja wa Kituo Cha Radio Cha Efm, Dennis Busolwa(Sebo), Akitangaza Majina ya Washindi wa shindano la shika ndiga lililozinduliwa katika Viwanja vya Temeke Mwembe Yanga Jijini Dar es Salaam, ambapo Sebo alitumia muda huo kuwashukuru wasikilizaji wa Efm Kanda ya Pwani na Dar es Salaam
Meneja huduma za Bima Kutoka Benki ya NBC, Benjamini Nkaka, akikabidhi kadi ya gari kwa Mshindi wa shika ndinga upande wa Wanawake.
Meneja Huduma za Bima Kutoka Benki ya NBC, Benjamini Nkaka, akikabidhi kadi ya gari kwa Mshindi wa shika ndinga upande wa Wanaume, Masudi Said
Baadhi ya Washiriki wa Shindano la Shika Ndinga wakiwa wameshikilia gari hilo kuelekea hatua ya fainali
Msanii wa Muziki wa Singeli Maarufu kwa jina la Mzee wa Bwax akitoa Burudani kwa wakazi wa Temeke Mwembe Yanga Jijini Dar es Salaam
baadhi ya Wakazi wa Wilaya ya Temeke waliofika kushuhudia ufunguzi wa pazia la shindano la shika ndinga kwa Wilaya ya Temeke.
Hivyo makala EFM YAKABIDHI BODABODA MBILI UFUNGUZI PAZIA LA SHIKA NDINGA MSIMU WA TANO
yaani makala yote EFM YAKABIDHI BODABODA MBILI UFUNGUZI PAZIA LA SHIKA NDINGA MSIMU WA TANO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala EFM YAKABIDHI BODABODA MBILI UFUNGUZI PAZIA LA SHIKA NDINGA MSIMU WA TANO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/efm-yakabidhi-bodaboda-mbili-ufunguzi.html
0 Response to "EFM YAKABIDHI BODABODA MBILI UFUNGUZI PAZIA LA SHIKA NDINGA MSIMU WA TANO"
Post a Comment